Mjue Benson Kigaila - kijana mtiifu wa Mbowe

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295

Anaitwa Benson Kigaila.
Cheo chake Naibu Katibu Mkuu Bara - CHADEMA.

Hajawai kuchaguliwa wala kupigiwa kura ila ameongoza miaka mingi CHADEMA.

Mke wake yupo bungeni ni mmoja wa wale COVID-19.

Ameshasema yeye sio muumini wa ukomo wa uongozi ikiwezekana hata Rais wa nchi asiwekewe ukomo wa uongozi kama ilivyo ndani ya chama chake CHADEMA.

Amekuwa akilalamikiwa kwenye chaguzi nyingi anazotumwa kusimamia uwa anafanya kazi chafu za mwenyekiti.

Ni mtu wa kuchunga kuelekea uchaguzi wa Chadema mwezi January. Timu Lissu macho yenu yawe kwa huyu mwamba siku ya uchaguzi maana ana historia ya kupindua meza dakika za jioni kama Kibu au Mudathir.
 
Chadema wanaonaga watanzani kuwa Pimbi ,embu fikiria huyu jamaa alisema hajui kama mke wake yuko bungeni πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Yule Polygon(Bon yai) ndi mafia mkuu wa mzee Mbowe
 
Chadema wanaonaga watanzani kuwa Pimbi ,embu fikiria huyu jamaa alisema hajui kama mke wake yuko bungeni πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Mkuu hata ungekuuwa wewe mke analeta mshahara wa ubunge ndani unalipa bills, watoto wanaenda shule nzuri, project za kumwaga si utasema Mbowe afie kwenye uenyekiti hata ukitumwa uweke sumu potelea pote πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kweli mkuu?
 
Hahahahahahaa! Na zile nyusi zake akadanganya umma
 
Mkuu hata ungekuuwa wewe mke analeta mshahara wa ubunge ndani unalipa bills, watoto wanaenda shule nzuri, project za kumwaga si utasema Mbowe afie kwenye uenyekiti hata ukitumwa uweke sumu potelea pote πŸ˜‚πŸ˜‚
Kweli aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…