Mjue Benson Kigaila - kijana mtiifu wa Mbowe

Jamaa ni chawa hasa wa mboe bila Shaka jamaa atakuwa Anatumia mzizi
 
Wewe ni msigwa????
 
..Mwalimu Nyerere aliandika mpaka kijitabu chenye title " tujisahihishe " maana yake alikuwa anasema Ccm na serikali wamekosea.

..Kukubali kwamba ktk Taasisi kuna makosa ni uuungwana, na hatua nzuri ya kuelekea kujirekebisha.
Mwl Nyerere anasema, "tujisahihishe" means, yeye pamoja na wenzake. Yaani leo wewe kazini kwako ni next to your boss, halafu uonekane ITV unaituhumu kampuni au shirika unalo fanyia kazi while wewe ni mtu wa pili kwa ukubwa hapo ofisini kwako, bro baada ya hiyo press conference uwe na barua ya resignation mkononi or else jiandae kufukuzwa. Kama hata jambo hili kuna watu mnamuunga mkono Lissu then nchi yetu ina watu wengi sana wasio jua maadili ya kazi zao.
 
Chadema ni kampuni ya nani?
 

Hawa wazee wa waliosoma Tosa miaka ya 80 ni shida sana...karibu wote na wamejipanga kila upande. Inasemekana alipokuwa sekondari alishindwa kwenye kura za uongozi. Sijui aligombea uongozi gani
 
Huu ni wasifu au ni ujinga wa mtoa post?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…