Mjue Bikira wa Kisukuma, kijana mhangaikaji mjini hapa

Rip

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Kunywa dawa kila siku na kuzingatia muda, kuepuka ngono zembe, kula vizuri, kufanya mazoezi na kumuoa daktari kama unavyoelezwa.
Mkuu aya mambo bora kuwa makini tu usije ukakanyaga waya maana acha kabisa. Mi mwenyewe kumeza dawa tu za kawaida naogopa hiyo adhabu za kila siku sidhani kama ntaiweza kwa kweli. May Jah forbid it.
 
Mkuu aya mambo bora kuwa makini tu usije ukakanyaga waya maana acha kabisa. Mi mwenyewe kumeza dawa tu za kawaida naogopa hiyo adhabu za kila siku sidhani kama ntaiweza kwa kweli. May Jah forbid it.
ARV za sikuhizi zimeboreshwa sana wale walotumia miaka ya 90 waliipata fresh kwanza ile asubuhi tu umeamka vidonge kama 20-30 na baada yahapo unaweza kurudisha chenji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…