Mjue Bikira wa Kisukuma, kijana mhangaikaji mjini hapa

Mjue Bikira wa Kisukuma, kijana mhangaikaji mjini hapa

Ninamfahamu huyu jamaa sana! Ni mtu mmoja fresh na kiukweli ana akili sanaaa tena sanaa sio kidogo...huyu ni graduate wa mambo ya biashara toka Tumaini University Iringa...amefanya kazi Exim, Bank M, Mbeya Cement, Twiga Cement, Airtel , Voda, Heineken hii yote ni ndani ya six au seven years...akaamua kuacha kazi na kuutafuta umaarufu mjini....washkaji wengi wanamkimbia kwa sababu wanaona kama anawaaibisha maana uwezo wake kichwani hakufaa aongozane na watu anaoongozana nao...hakupaswa kujirahisisha kutafuta cheap publicity...
Ila wengi hawajui kuwa haayo mafanikio wanayoyataja ya huyu jamaa ni ya online kwenye social media..yaani mbali na hapo jamaa hana mafanikio yoyote...labda kuwa na gari! ana akili sana lkn hajui kupanga maisha yake sidhani kama anaogopa kesho....anazeeka na ustaa anaacha kufanya mambo ya maana japo ana nafasi nyingi za kuingiza fedha sababu ana akili na anajua kutumia fursa....huyo utakuta hata pa kuishi hana anaishi kwa mtu...Seth it's high time now...ujidefine, ujue umekua...get yourself a home...au kampe company mdingi Changanyikeni....boresha geto lako pale nje kwa mzee...get a life...nadhani redioni uko vzr, andika vitabu, start a talk show or something....you can go far...achana na hii cheap publicity ya kumsaka Wema sijui Diamond....cha mwisho Seth umekuzwa kanisani...usimuache Mungu...cheap publicity isikutenge na muumba wako! rudi kanisani...ukimaliza starehe zako mtaani rudi kanisani japo once per week...sali...your mum will be proud where she is akijua hujaacha muongozo aliokupa! kila la kheri bikira...sina ukakasi na jina lako naona liko poa tu!
Nimejifunza kitu mkuu kwenye haya maisha kupitia hiii coment ako nimejifunza kitu barikiwa....pumzika kwa aman mkuu seti

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Rest in peace Seth( imeniumaa sana) sijajua sababu but imeniumaaa Hasa nikikafikilia kale katoto kake kadogo ka kike walipendana wenyewe Na majuzi kalikuwa kanamtaka Baba ake arudi nyumbani toka hospital (ukiangalia Instagram page yake)

Sent from my Solar 5 using JamiiForums mobile app

38b07df652d03b996de4fced90414a4d.jpg

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Rest in peace Seth( imeniumaa sana) sijajua sababu but imeniumaaa Hasa nikikafikilia kale katoto kake kadogo ka kike walipendana wenyewe Na majuzi kalikuwa kanamtaka Baba ake arudi nyumbani toka hospital (ukiangalia Instagram page yake)

Sent from my Solar 5 using JamiiForums mobile app
Ina uma sana mkuuu...kuna muda naona kifo kama ishara mtu unakua kama unaona dalili ...maisha yetu mafupi hapa duniani pumzika kwa amani bro

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
tusifiche maradhi wakuu.. hata kama unajiona una nguvu ukishapata tatizo bora kuwa wazi ukapata ushauri wa daktari .. any way huwa tunasema kifo hupangwa ila vingine hujitakia labda angepata hata mwaka mmoja zaidi ... lala kwa amani seth, sote tutarejea ila si kwa uzembe ..
 
alikuwa anaumwa nini shosti maana nimeshtuka sana .
 
Back
Top Bottom