WEWE NAWEEE!!!! mawivu tuuu huna lolote.. Ptuu!!! mfyuuuuuuuuuuuuuu
Kwa hiyo mimi namuonea wivu mapung'o huyoo??????? loh !!! nitake radhi aisee.
kama uchafu wa vocha...
kama sio wivu ni nini? ukimuita NDOMO na wewe jinsi ulivyo hapo wakuiteje?? mijitu mingine ovyo kabisaa MFFYUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!!! kKWENDREEEEEE!!
mweupe sana na hana lolote kuna bodigad wa dully alipewa promo humu baadae akaja gundulia analiwa kiboga eti walimuita ngumi jiwe huku anapumuliwa tz kwa mizaha
Haya dada asantee.
kwendraaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!! peleka chupilako chafu KONYO we
Hiko cheti mbona kinasema ni mshiriki tu wa mieleka...huo ukomando kapewa na taasisi gani...hizi promo nyengine ndio mnawasababishia wenzenu kuliwa kiboga
kweli Mkuu hawa waandishi sijui wa Gazeti gani?Eti kwenye msitu wa chuo kikuu msitu upi? Hapo si uwanjani tufike Muda tuwakatae hawa waandishi wa habari makanjanja Kama huyu
mzee, usichanganywe kidogo tu hivyo unaamini, kwa michapo hiyo, hasa hapo anaporusha teke, huyo ni mchumba tu, mimi kwangu huyo hachukui dakika moja nimeshamrestisha in peace. nasema ukweli wote, inaonekana ananyanyua mavyuma tu lakini ujuzi wa kupigana hana. kupigana sio kunyanyua mavyuma kwasababu kwa wacheza karate kama sisi huyo unaweza kumfanya kitu mbaya sana. urushaji wake wa teke, na huyo mwalimu wake wote inaonekana wanapigana ngumi za uchochoroni lakini sio professional martial arts. hana lolote kabisa.Kama ni kweli saluti kwake
mzee, usichanganywe kidogo tu hivyo unaamini, kwa michapo hiyo, hasa hapo anaporusha teke, huyo ni mchumba tu, mimi kwangu huyo hachukui dakika moja nimeshamrestisha in peace. nasema ukweli wote, inaonekana ananyanyua mavyuma tu lakini ujuzi wa kupigana hana. kupigana sio kunyanyua mavyuma kwasababu kwa wacheza karate kama sisi huyo unaweza kumfanya kitu mbaya sana. urushaji wake wa teke, na huyo mwalimu wake wote inaonekana wanapigana ngumi za uchochoroni lakini sio professional martial arts. hana lolote kabisa.
Mkwala wa nanasi...nnje miiba mingii, ndani tamu balaa!