Mjue Bodigadi wa Diamond, kumbe ni 'Komandoo Kipensi'

Mjue Bodigadi wa Diamond, kumbe ni 'Komandoo Kipensi'

Kule Temeke kuna baunsa alikuwa anaitwa power dunda,siujua bado yupo maana alikuwa na mkwara ile mbaya na cha ajabu kumbe alikuwa analiwa...
 
Kule Temeke kuna baunsa alikuwa anaitwa power dunda,siujua bado yupo maana alikuwa na mkwara ile mbaya na cha ajabu kumbe alikuwa analiwa...

mkuu Kabembe unaweza tuthibitishia hayo?
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo mimi namuonea wivu mapung'o huyoo??????? loh !!! nitake radhi aisee.

kama sio wivu ni nini? ukimuita NDOMO na wewe jinsi ulivyo hapo wakuiteje?? mijitu mingine ovyo kabisaa MFFYUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!!! kKWENDREEEEEE!!
 
mweupe sana na hana lolote kuna bodigad wa dully alipewa promo humu baadae akaja gundulia analiwa kiboga eti walimuita ngumi jiwe huku anapumuliwa tz kwa mizaha

mkuu umemipa sababu ya kucheka kwa leo.
 
Eti kwenye msitu wa chuo kikuu msitu upi? Hapo si uwanjani tufike Muda tuwakatae hawa waandishi wa habari makanjanja Kama huyu
kweli Mkuu hawa waandishi sijui wa Gazeti gani?
kumsifia mtu ana kilogram 200 wakati ni umbo la 98kg na anajificha msitu wa UDSM
tufike mahali kweli tuwaogope km ukoma
 
Kama ni kweli saluti kwake
mzee, usichanganywe kidogo tu hivyo unaamini, kwa michapo hiyo, hasa hapo anaporusha teke, huyo ni mchumba tu, mimi kwangu huyo hachukui dakika moja nimeshamrestisha in peace. nasema ukweli wote, inaonekana ananyanyua mavyuma tu lakini ujuzi wa kupigana hana. kupigana sio kunyanyua mavyuma kwasababu kwa wacheza karate kama sisi huyo unaweza kumfanya kitu mbaya sana. urushaji wake wa teke, na huyo mwalimu wake wote inaonekana wanapigana ngumi za uchochoroni lakini sio professional martial arts. hana lolote kabisa.
 
Lengo la si kuponda. Angalia makomando walivyo Wengi si wakubwa kwa saizi hii ila wana strength na manuva za ajabu. Ingekuwa mabodigadi wanaangaliwa kwa ukubwa wa miili basi secret service au TISS wangekuwa nao kibao. Angalia jamaa wa TISS wana miili fullani ya wastani lakini wawakamavu na kigezo kinggine ni watu wan akili. Sasa huyu mwarabu hata akili sijui kama anazo. Ana miguvu guvu :becky:
 
mzee, usichanganywe kidogo tu hivyo unaamini, kwa michapo hiyo, hasa hapo anaporusha teke, huyo ni mchumba tu, mimi kwangu huyo hachukui dakika moja nimeshamrestisha in peace. nasema ukweli wote, inaonekana ananyanyua mavyuma tu lakini ujuzi wa kupigana hana. kupigana sio kunyanyua mavyuma kwasababu kwa wacheza karate kama sisi huyo unaweza kumfanya kitu mbaya sana. urushaji wake wa teke, na huyo mwalimu wake wote inaonekana wanapigana ngumi za uchochoroni lakini sio professional martial arts. hana lolote kabisa.

sawa Van Damme
 
Back
Top Bottom