Mjue Charlie Chaplin, mwigizaji wa zamani

Bado huwa namsearch youtube na kuangalia comedy zake, ni noma sana aisee
 
Bado huwa namsearch youtube na kuangalia comedy zake, ni noma sana aisee
watu wengi video zake wanazikuta mitandaoni tu CD zakesana mtaani nu ngumu sana kuzipata
 
Hah hah dah nimesoma heading tu nikaanza kucheka

Yani sometimes hadi nafkiria kajamaa hakakuwa ka binadamu labda ni "kakutuni" tu
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23] kweli kabisa...alikuwa katuni huyu!
 
ile movie ya mechanical nilicheka hadi nilitoa machozi uyu jamaa angekuwepo hadi leo sijui angenisahulisha kichwan rais magufuli
 
Kuna ile yupo ulingoni anapigana masumbwi na mpinzani wake aiseee...
Hakuna atakaye mfikia hata siku moja.
 
Kasoro nyingine ni racism, Jamaa alikuwa incharge wa kazi zake karibu zote, hakuwaamini Waigizaji Weusi mpaka ilibidi Mzungu ajipake rangi nyeusi ndio akae kama mtu mweusi kwenye play zake....kama kwenye "A Night in the show"
kwa miaka ile racism ilikuwa kawaida sana...wengi wa weusi kule walikuwa bado ni watumwa wa chini chini!
 
[emoji23][emoji28][emoji23][emoji28] alafu utaamini ile mashine ya chakula ni yeye ndo alikuwa anaiOperate kwa mikono pale pale....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…