Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah pole sana mkuu hakika msiba wake uliumiza wengiAlishafariki mkuu mwaka 1977
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23] kweli kabisa...alikuwa katuni huyu!Hah hah dah nimesoma heading tu nikaanza kucheka
Yani sometimes hadi nafkiria kajamaa hakakuwa ka binadamu labda ni "kakutuni" tu
umenifanya nicheke baada ya kuikumbuka hyo clip [emoji23][emoji28][emoji23]Kuna ile clip alipoingia kwenye banda la simba wenye njaa ,duu huwa naifurahia xana
Yaan hujasoma hata thread. Naona unakurupuka tu hahaaBado yuko hai?
Hapana c mwingereza ni AmericanMwingereza huyu
kwa miaka ile racism ilikuwa kawaida sana...wengi wa weusi kule walikuwa bado ni watumwa wa chini chini!Kasoro nyingine ni racism, Jamaa alikuwa incharge wa kazi zake karibu zote, hakuwaamini Waigizaji Weusi mpaka ilibidi Mzungu ajipake rangi nyeusi ndio akae kama mtu mweusi kwenye play zake....kama kwenye "A Night in the show"
[emoji23][emoji28][emoji23][emoji28] alafu utaamini ile mashine ya chakula ni yeye ndo alikuwa anaiOperate kwa mikono pale pale....Kuna ile moja nimesahau jina, ila miongoni mwa clip ni moja ambayo wapo kiwandani, yeye kapewa spaner ya kukaza bolt, ilikuwa hatari. Lakini clip nyingine ni eating machine ambayo katika majaribio, yeye ndo akachaguliwa. Kilichotokea hapo ni full vituko.
Kuna ile clip alipoingia kwenye banda la simba wenye njaa ,duu huwa naifurahia xana