Mjue Charlie Chaplin, mwigizaji wa zamani

Ha ha haaaa
Inanikumbusha zamani sana kitu cha black and white
 
Yaani ye alifanya kila kitu kama bongo movie
 
Alikuwa ana talent sana ni kati ya watu waliosadia kukuza tasnia ya movies.
Maana kipindi hicho ndipo mambo ya cinema na tv yalikuwa yanaanza shika kazi kwahiyo mambo mengi yalikuwa yana develope kuanzia ideas na kila kitu
 
Mwaka 2011 nilienda Latvia katika vocation tu nikaona restaurant imeandikwa Charlie Chaplin restaurant imenakshiwa vzr sikusita kuingia nakumbuka ilikua moja kati ya tunna pizza tamu niliyopata kuila!!
 
Kuna moja hiyo wako Kwenye maficho baridi Kali full ma snow njaa Kali afu hakuna chakula piga akili wakaona ustutanie tutakufa tunajiona wakaanza kupika Viatu Mzee huwa nacheka ile situation mpaka kesho
 
Hahahaha
 
Ilo jina linavutia sana wateja nadhani
 
Kuna moja hiyo wako Kwenye maficho baridi Kali full ma snow njaa Kali afu hakuna chakula piga akili wakaona ustutanie tutakufa tunajiona wakaanza kupika Viatu Mzee huwa nacheka ile situation mpaka kesho
Jamaa walianza kupika supu ya kiatu
huyu jamaa alikua noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…