Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
hahaha [emoji23][emoji28] zile break zake akkimbia alafu akitaka kukata konaatom na jerry nahisi wanamuigilizaga yeye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha [emoji23][emoji28] zile break zake akkimbia alafu akitaka kukata konaatom na jerry nahisi wanamuigilizaga yeye
nani huyo?MJUKUU WAKE MMOJA WA KIKE..
NI MWIGIZAJI KWENYE SERIES YA GAME OF THRONE
Alizaliwa 1889.Bado yuko hai?
Kuna ile moja nimesahau jina, ila miongoni mwa clip ni moja ambayo wapo kiwandani, yeye kapewa spaner ya kukaza bolt, ilikuwa hatari. Lakini clip nyingine ni eating machine ambayo katika majaribio, yeye ndo akachaguliwa. Kilichotokea hapo ni full vituko.
Ha ha haaaa![]()
Niimani yangu kuwa mko poa wana jf mnaendelea na majukumu ya kila siku japo ndio hivyo vyuma vimekaza kwa baadhi yetu lakini maisha lazima yaendelee
Leo tunamuongelea mchekeshaji wa zamani ambaye aliacha historian duniani kwa kazi yake ya sanaa iliyowavutia watu wengi kipindi icho mpaka sasa
Charlie Chaplin ni miongoni mwa watu waliokuwa na vipaji hasa mpaka kuna baadhi ya watu wanasema hajatokea kama yeye mpaka sasa
Charlie Chaplin alizaliwa London, 16 Aprili 1889, wazazi wake waliofanya kazi katika sekta ya burudani alipokuwa na umri mdogo baba yake aliekuwa mlevi alipotea na baadaye mama yake alipata matatizona na akapelekwa kwenye hifadhi
Hii ilisababisha Charlie na nduguye kujilea wenyewe Mwaka 1910 Charlie alisafiri na kuelekea Amerika na kupata ujuzi katika sekta ya filamu kutokana na kipaji alichokuwa nacho alibuni alama mtindo wake wa uvaaji uliokuwa ukimtambulisha ni kofia ya bakuli, masharubu na nguo zinazofaa,
![]()
Charlie Chaplin akawa nyota kubwa na umaarufu wake ulienea duniani kote Charlie Chaplin alikuwa na uwezo mkubwa alitumia fedha, kuandika na kuelekeza filamu zake mwenyewe baadhi ya filamu zake maarufu zaidi ni pamoja na lights city ya Mwaka (1931) greater dictator ya Mwaka (1940)
Kutokana na uchekeshaji wake kuna watu wakiona picha yake tu wanacheka
![]()
![]()
Filamu yake ya Greater dictator ilikuwa inaongelea juu ya udikteta wa kikatili wa Hitler na Mussolini. Chaplin mwenyewe alicheza majukumu mawili alicheza kama myahudi aliyechaguliwa Pia alicheza kama "Adenoid Hynkel - dikteta wa Tomania ufahamu wazi wa Adolf Hitler Filamu hiyo ilifanyika mwaka mmoja kabla ya Marekani kuingia katika vita dhidi ya Ujerumani Hatimaye mamlaka ya Marekani waliamua kumruhusu kutumia visa yake ya kuingia Marekani baada ya kuzuiliwa kwa mda kwa sababu za kuukuunga mkono ukomunisti
Charlie Chaplin baadaye alisema hakuwa Mkomunisti lakini alikataa kuhukumu Wakomunisti kwa sababu hakupenda asili ya zama za McCarthy
Chaplin alikuwa na vipaji vya ajabu hii ilikuwa ni talanta iliyopatikana kupitia filamu zake za kimya Charlie Chaplin pia kutokana na kazi zake nzuri alipewa tuzo mwaka 1972 kwa alama yake ya muziki katika filamu ya 1952 Limelight Pia alipewa tuzo ya heshima mwaka 1972 ambayo picha ya mwendo aina ya sanaa ya karne hio
Charlie Chaplin alikuwa na watoto 11 kwa wanawake watatu tofauti na alikuwa na wanawake wengine kwa kibongo tunaita (michepuko) alikufa katika usingizi huko Vevey Uswisi siku ya Krismasi 1977![]()
![]()
![]()
DEOD 360
Yaani ye alifanya kila kitu kama bongo movieAmechangia sana maendeleo ya movie kwa ujumla.
Pia inasemekana alikuwa ni predator, alipenda sana kulala na watoto yani vibinti vidogo ndivyo alikuwa anatembea navyo.
Mtiririko wa vichekesho vyake vya Circus ndivyo vilimpa umaarufu sana na kumpatia pesa nyingi.
Yeye ndiye alikuwa script writer
Music Composer
Director
Story writter
Editor
Alikuwa ana talent sana ni kati ya watu waliosadia kukuza tasnia ya movies.Yaani ye alifanya kila kitu kama bongo movie
Kuna ipo anacheza mieleka, huwa inanichekesha sanaKuna ile clip alipoingia kwenye banda la simba wenye njaa ,duu huwa naifurahia xana
Ilo jina linavutia sana wateja nadhaniMwaka 2011 nilienda Latvia katika vocation tu nikaona restaurant imeandikwa Charlie Chaplin restaurant imenakshiwa vzr sikusita kuingia nakumbuka ilikua moja kati ya tunna pizza tamu niliyopata kuila!!
Hahaha
Jamaa walianza kupika supu ya kiatuKuna moja hiyo wako Kwenye maficho baridi Kali full ma snow njaa Kali afu hakuna chakula piga akili wakaona ustutanie tutakufa tunajiona wakaanza kupika Viatu Mzee huwa nacheka ile situation mpaka kesho