goukun wadey
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 241
- 284
- Thread starter
- #21
Stesheni; wewe unamuelewa zaidi yangu asante sana. Naomba tufungukie zaidi huyu Dr Jumaa mimi niliongea nae kwa dk kama 12/15 lakini nilishiba MADINI yake atafaa huyuHuyu anafaa sana. Mimi pia amenifundisha,issue ya nyodo ni mtazamo,maana inawezekana ulikuwa kilaza. Huyu Dr Juma ninamfahamu vizuri,amesoma Mkwawa nikakutana naye huko,akasoma Uclas nikakutana naye huko,kutokana na weledi alionao,Udsm wakamuona wakamchukua wakamsomesha na kumtumia hadi anapata PhD yake pale hadi akawa na cheo pale,yote hiyo ni kutokana na weledi alionao.
Tunduru kunamfaa sana huyu.
Namfahamu vizuri.
Hana hulka.
Ni mpole.
Chagua Dr Juma uone maendeleo.