Uchaguzi 2020 Mjue Dkt. Juma Mohammed mtia nia ubunge Tunduru Kaskazini

Uchaguzi 2020 Mjue Dkt. Juma Mohammed mtia nia ubunge Tunduru Kaskazini

Anaitwa Dkt. Juma Mohammedi, mtu pekee anaetosha na aliekusudia kuwaletea mageuzi na naendelea ya ukweli wana Tunduru Kaskazini, wengi ni watashangaa analetaje mageuzi ya kimaendeleo katika jimbo ambalo litakuwa jambo geni!

Ukipata wasaa wa kukutana nae jipe muda umsikilize hata kidogo kwa vile muda halisi wa kuanza kampeni bado, hapo hapo utagundua TUNU hii kwa wana Tunduru ambayo ilikosekana kwa miongo mingi kutoka kwa kijana huyu msomi na mhadhiri ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam.

Ni suala la muda mchache chu watu watasahau uwepo wa watangulizi ambao kwa hakika waliwapotezea muda wana Tunduru bila ya kuleta matokeo chanya katika uwakilishi wao.

Anayejua zaidi ya hivi atujulishe tafadhari maana sifa zake wengine zimetukuna.
Nilipoona ccm tu nikaacha kusoma, maana ccm ni hatari zaidi ya covid-19
 
Back
Top Bottom