Puna
JF-Expert Member
- Oct 9, 2013
- 2,551
- 4,454
Jembe bovu.Kule Kusini Mpakate nae anatakiwa akaliwe kooni.Tunduru tumepata jembe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jembe bovu.Kule Kusini Mpakate nae anatakiwa akaliwe kooni.Tunduru tumepata jembe
Tunataka Juma aje afanye yalioshindikana kwa watangulizi wake, tuna imani nae kuliko mtia nia yeyote hata tusifanane na NYCTunduru kuwa Kama New York City
Dr. Ni mtu makiniTunataka Juma aje afanye yalioshindikana kwa watangulizi wake, tuna imani nae kuliko mtia nia yeyote hata tusifanane na NYC
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kusini yote ibaki kijani
ado hatoshiHuyu anafaa sana. Mimi pia amenifundisha,issue ya nyodo ni mtazamo,maana inawezekana ulikuwa kilaza. Huyu Dr Juma ninamfahamu vizuri,amesoma Mkwawa nikakutana naye huko,akasoma Uclas nikakutana naye huko,kutokana na weledi alionao,Udsm wakamuona wakamchukua wakamsomesha na kumtumia hadi anapata PhD yake pale hadi akawa na cheo pale,yote hiyo ni kutokana na weledi alionao.
Tunduru kunamfaa sana huyu.
Namfahamu vizuri.
Hana hulka.
Ni mpole.
Chagua Dr Juma uone maendeleo.
Wewe ndiye mpuuzi namba moja.Wewe umekuja kumtambulisha na kumnadi huyo mpuuzi wako, watu wanakujibu hawamjui na hawamtaki inakuwa nongwa?
Kwani mbaya watu kukuambia hawamjui na hawamtaki huyo daktari wa kienyeji?
Vp nae hatoagi maksi za chupi maana watu wa UDSM wana hyo kashfa ipo mpaka Takukuru angesubiri kwanza isafishwe. Au goukun wadey unataka kusemajeDr Juma mtu makini sana, sijui weledi wake katika siasa lkn kitaaluma ni mtu makini sana. Nakumbuka presentations za Ms na PhD pale COET ukipigwa swali na Dr Juma huchomoki. Hana papara mambo yake yamenyooka.
Huyu amenifundisha udsm jamaa ana nyodo balaa anyway labda kwa sababu sisi tulikuwa wanafunzi yeye mwalimu.
Kwa iyo umakini na ubora wake unatokana na yeye kuuliza maswali magumu kwenye presentation? Tuna Safari ndefu.Dr Juma mtu makini sana, sijui weledi wake katika siasa lkn kitaaluma ni mtu makini sana. Nakumbuka presentations za Ms na PhD pale COET ukipigwa swali na Dr Juma huchomoki. Hana papara mambo yake yamenyooka.
Anaitwa Dkt. Juma Mohammedi, mtu pekee anaetosha na aliekusudia kuwaletea mageuzi na naendelea ya ukweli wana Tunduru Kaskazini, wengi ni watashangaa analetaje mageuzi ya kimaendeleo katika jimbo ambalo litakuwa jambo geni!
Ukipata wasaa wa kukutana nae jipe muda umsikilize hata kidogo kwa vile muda halisi wa kuanza kampeni bado, hapo hapo utagundua TUNU hii kwa wana Tunduru ambayo ilikosekana kwa miongo mingi kutoka kwa kijana huyu msomi na mhadhiri ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Ni suala la muda mchache chu watu watasahau uwepo wa watangulizi ambao kwa hakika waliwapotezea muda wana Tunduru bila ya kuleta matokeo chanya katika uwakilishi wao.
Anayejua zaidi ya hivi atujulishe tafadhari maana sifa zake wengine zimetukuna.
Ana nn hasa cha ziada...anaishi wapi i mean makazi yake halisi ,amewai ifanyia nn tunduru kikichoweka wazi sifa yake ya kutaka kupewa jimbo?Anaitwa Dkt. Juma Mohammedi, mtu pekee anaetosha na aliekusudia kuwaletea mageuzi na naendelea ya ukweli wana Tunduru Kaskazini, wengi ni watashangaa analetaje mageuzi ya kimaendeleo katika jimbo ambalo litakuwa jambo geni!
Ukipata wasaa wa kukutana nae jipe muda umsikilize hata kidogo kwa vile muda halisi wa kuanza kampeni bado, hapo hapo utagundua TUNU hii kwa wana Tunduru ambayo ilikosekana kwa miongo mingi kutoka kwa kijana huyu msomi na mhadhiri ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Ni suala la muda mchache chu watu watasahau uwepo wa watangulizi ambao kwa hakika waliwapotezea muda wana Tunduru bila ya kuleta matokeo chanya katika uwakilishi wao.
Anayejua zaidi ya hivi atujulishe tafadhari maana sifa zake wengine zimetukuna.
Kwa kweli ni aibu sana kwa wasomi wanavyo kimbia na siasa na uchaguzi. Inasikitisha sana na nafikiri kuna mahali kama taifa ni vema turekebishane na tukubali kufumua upya baadhi ya maeneo kwa manufaa ya keshoNi masikitiko sana kwa hawa wanajiita wasomi wakisha ingia kwenye siasa wanakuwa viroja. Taaluma zao zinakuwa tambara la kudeki CCM.
Sijaonaga impact ya wasomi kwenye siasa kwani wanasahau taaluma na kuburutwa na ushabiki na matumbo yao. Wanashindwa kusimamia vitu kitaaluma.
ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam.