goukun wadey
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 241
- 284
- Thread starter
-
- #21
Stesheni; wewe unamuelewa zaidi yangu asante sana. Naomba tufungukie zaidi huyu Dr Jumaa mimi niliongea nae kwa dk kama 12/15 lakini nilishiba MADINI yake atafaa huyuHuyu anafaa sana. Mimi pia amenifundisha,issue ya nyodo ni mtazamo,maana inawezekana ulikuwa kilaza. Huyu Dr Juma ninamfahamu vizuri,amesoma Mkwawa nikakutana naye huko,akasoma Uclas nikakutana naye huko,kutokana na weledi alionao,Udsm wakamuona wakamchukua wakamsomesha na kumtumia hadi anapata PhD yake pale hadi akawa na cheo pale,yote hiyo ni kutokana na weledi alionao.
Tunduru kunamfaa sana huyu.
Namfahamu vizuri.
Hana hulka.
Ni mpole.
Chagua Dr Juma uone maendeleo.
DuhAtakuja kuwa mwizi tu uyo
Ujumbe wako bali lugha uneitumia (kindezindezi) sio sawa. Unaruhusiwa kurekebisha kwa kadri ya uelewa wako please
Nalo ni kweli, bali Wale wajinga ndio inakuwa kama marefa wa mpira wa miguu wa Tz hawajui hata wapi anaharibu kwa bahati mbaya wala makusudi. Tunafanyaje! Twende na dr Juma tuoneNi masikitiko sana kwa hawa wanajiita wasomi wakisha ingia kwenye siasa wanakuwa viroja. Taaluma zao zinakuwa tambara la kudeki CCM.
Sijaonaga impact ya wasomi kwenye siasa kwani wanasahau taaluma na kuburutwa na ushabiki na matumbo yao. Wanashindwa kusimamia vitu kitaaluma,
Umechoka waliokuwakilisha; uzi huu unatafuta ukweli wa dr Juma ni nani anafaaje hao uliowachoka achana nao, na wenyewe wamechoka.Tumechoka kuchagua waishi dar
Gombea hukohuko.
Huku tunao.wa kutosha
Tunaishi nao wanajua nahitaji yetu
Kama anataka uwaziri gombea hapo uishipo.
Kwa uchache hawa hapa
Advocate Kaukuya
Hassani myao
Sikudhani chikambo na wengine wengitumewaomba watie nia wanagoja wakati tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Atakuja kuwa mwizi tu uyo
Sio Juma na wala hajui kama kuna uzi hukuAisee mwenye huu uzi kama ni Juma mwenyewe naomba ani pm
Mbona akaunti mpya?Sio Juma na wala hajui kama kuna uzi huku
ZAMU YAKE SASA KWENDA KUWAPIGIA MAGOTI NA KUWAAMKIA WAKULIMAHuyu amenifundisha udsm jamaa ana nyodo balaa anyway labda kwa sababu sisi tulikuwa wanafunzi yeye mwalimu.