Uchaguzi 2020 Mjue Dkt. Juma Mohammed mtia nia ubunge Tunduru Kaskazini

B ado hatoshi
 
Wewe umekuja kumtambulisha na kumnadi huyo mpuuzi wako, watu wanakujibu hawamjui na hawamtaki inakuwa nongwa?

Kwani mbaya watu kukuambia hawamjui na hawamtaki huyo daktari wa kienyeji?
Wewe ndiye mpuuzi namba moja.

Jaribu kutumia lugha nzuri.

Kwanini umwite mpuuzi.
 
Dr Juma mtu makini sana, sijui weledi wake katika siasa lkn kitaaluma ni mtu makini sana. Nakumbuka presentations za Ms na PhD pale COET ukipigwa swali na Dr Juma huchomoki. Hana papara mambo yake yamenyooka.
 
Vp nae hatoagi maksi za chupi maana watu wa UDSM wana hyo kashfa ipo mpaka Takukuru angesubiri kwanza isafishwe. Au goukun wadey unataka kusemaje
 
Kuna wakati inategemea wamaanisha nini kusema huyo jamaa ana nyodo, unaweza ukawa na issue yako ya shule, lakini kwa sababu umemuona Mlimani city, utataka aishughulikie pale. Unaweza ukawa una shida unayefanyiwa hiyo "nyodo".

Huyu amenifundisha udsm jamaa ana nyodo balaa anyway labda kwa sababu sisi tulikuwa wanafunzi yeye mwalimu.
 
Dr Juma mtu makini sana, sijui weledi wake katika siasa lkn kitaaluma ni mtu makini sana. Nakumbuka presentations za Ms na PhD pale COET ukipigwa swali na Dr Juma huchomoki. Hana papara mambo yake yamenyooka.
Kwa iyo umakini na ubora wake unatokana na yeye kuuliza maswali magumu kwenye presentation? Tuna Safari ndefu.
 
Hawa wazee wa majalalani wana njaa sana wameona siasa ni sehemu ya kushibisha matumbo yao. Akipata ubunge akili anamkabidhi Magufuli yeye anakuwa sawa na Kibajaji/Musukuma.
 
Ana nn hasa cha ziada...anaishi wapi i mean makazi yake halisi ,amewai ifanyia nn tunduru kikichoweka wazi sifa yake ya kutaka kupewa jimbo?
 
19/20 julai 2020 ndio siku ambazo wana Tunduru kaskazini watabainika kama wana uelewa wa namna gani! Siku ambazo zinatarajiwa kuhitimisha namna ya chaguzi kwa mtu makini Dr Juma Mohamedi Mtinda, au kubainisha uelewa mdogo, (nahofia kutumia neno ujinga) kwa kuwachagua kinyume na dr Jmm kwa manufaa ya wanatunduru km sio Tanzania mzima.
 
Kwa kweli ni aibu sana kwa wasomi wanavyo kimbia na siasa na uchaguzi. Inasikitisha sana na nafikiri kuna mahali kama taifa ni vema turekebishane na tukubali kufumua upya baadhi ya maeneo kwa manufaa ya kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…