Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,194
- 4,549
- Thread starter
-
- #101
Alikuwa ndiye kama rol...mod....Tundu Lisu akija atasema ni Uongo huo,Lamwai hajapigwa risasi 16 sijui 32 kama yeye so hajui sheria
Kwa maana hiyo kingunge ndio alikuwa mzizi wa fitna katika chama au ?Maradhi yanamsumbua sana kwa sasa
Tumuombee tahfeef kwa Mola
huyu ndio alikabidhiwa 'ukili' wa kusuka kikapu cha huu Upinzani tunaoushuhudia Tanzania nwishoni mwa miaka ya 1980s na akaifanya kazi hii kwa uzalendo mkubwa sana
Mabere Nyaucho Marando na Kingunge Ngombale Mwiru hawa watu wanatakiwa pale Makao makuu ya Ccm Dodoma na ofisi Ndogo ya Lumumba yawekwe masanamu yao makubwa sana kuwaenzi
Balozi Juma Mwapachu wakati anaondoka CCM 2015 baada ya kukasirishwa kukatwa kwa Lowassa akisema 'Kingunge ' ndio hirizi ya Ccm ya Miaka yote
Yaaani uchawi ule wa Kingunge wa kizalendo sana hadi alipotaka kushiriki kuitoa Ccm 2015 alishindwa yaani ni sawa na fundi aliekaza bawaba za mlango hata akashindwa kuja kuitoa siku alipohitaji kuung'oa Mlango ule ule
ni mtu mzima, ni bibi huyo afu ni mtani wangu, tunajuana."ajuza una uwongo mwingi sana. lamwai kwahiyo alikuwa system hadi akafilisiwa na kunyang'anywa leseni ya kupractice"
Kwanini umuite mwenzako ajuza?
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Tupe hicho kisa cha kukataa uwaziri. Bila shaka ni awamu ya nneUkiona msomi yeyote kaingia kwenye siasa, elewa kuwa huyo kasoma lakini hajaelimika.
Msomi kuingia kwenye siass iwe kwenye miaka yake ya kustaafu, ndipo kweli bado ana nia ya kuitumikia jamii.
Tazama kina Dr. Janabi, na fursa zote walizonazo na usomi wao lakini wamekataa kabisa kuingia kwenye siasa, Janabi alikataa mpaka uwaziri, anasema anataka kuitendea haki elimu yake. Hao ndiyo wasomi walioelimika.
Umeeleza vizuri kabisa Mzee Wangu HIFIKEPUNYE POHAMBAWapo wanaomjua Dr Masumbuko kama Mhadhiri Mwandamizi wa Sheria na alifundisha na kuwawezesha wengi kuwa Wanasheria na Mawakili na wengine hadi wamefikia kuwa Majaji
kuna watu walionewa kwny kesi na mashauri mbalimbali akawasaidia wakashinda
kwangu alikuwa Mtu anaenihamasisha kwny uwekezaji kwny kilimo akinipeleka kwa gari lake mwenyewe hadi Shambani kwake Bagamoyo na kuona mafanikio kwny uwekezaji wake
Mjinga ni yule anaetaka watu wote wamtazame mtu katika angel moja anayotaka yeye
Acha wivu wewe mmakuawe ni wale wachaga wapumbavu siyo? Mkoa adhimu maana yake nini. Kima we
Utaifanyia kazi wapi Masjid?Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.
Una Elimu gani? Hujui maana ya ajuza?"ajuza una uwongo mwingi sana. lamwai kwahiyo alikuwa system hadi akafilisiwa na kunyang'anywa leseni ya kupractice"
Kwanini umuite mwenzako ajuza?
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Mara nyingi watu walioko serikalini huwa mbumbumbu sana kifikra, hivyo utumia nguvu sana kufanya mambo yao, akitokea mtu kumupinga huyo mtu huwa Ni adui number moja. Yuko tayari kuuwa ,kuumiza aonekane yuko right, mpaka leo ukipinga hoja za watawala basi wako tayari kupoteza kabisa. Mfano akina Dr Nshala, Mwambukusi etc.
Masjid kuna elimu ambayo nakusikitikia sana hujawahi kuielewa.Utaifanyia kazi wapi Masjid?
Hana mvuto wakisiasa angekuwa hivyo angekuwa ashaingia ,sikila mtu anaweza kuwa kiongozi wakisiasaUkiona msomi yeyote kaingia kwenye siasa, elewa kuwa huyo kasoma lakini hajaelimika.
Msomi kuingia kwenye siass iwe kwenye miaka yake ya kustaafu, ndipo kweli bado ana nia ya kuitumikia jamii.
Tazama kina Dr. Janabi, na fursa zote walizonazo na usomi wao lakini wamekataa kabisa kuingia kwenye siasa, Janabi alikataa mpaka uwaziri, anasema anataka kuitendea haki elimu yake. Hao ndiyo wasomi walioelimika.
Mfano yule Mwenyekiti wa Chama cha Walimu aliekataa UDC,sasa hivi cha moto anakiona.Watawala wa kiafrika ni wadhaifu sana, hata ukigomea teuzi zao utajengewa chuki na kuumizwa.
Siku anakataa huyo janabi wewe ulikuwepo?Ukiona msomi yeyote kaingia kwenye siasa, elewa kuwa huyo kasoma lakini hajaelimika.
Msomi kuingia kwenye siass iwe kwenye miaka yake ya kustaafu, ndipo kweli bado ana nia ya kuitumikia jamii.
Tazama kina Dr. Janabi, na fursa zote walizonazo na usomi wao lakini wamekataa kabisa kuingia kwenye siasa, Janabi alikataa mpaka uwaziri, anasema anataka kuitendea haki elimu yake. Hao ndiyo wasomi walioelimika.
Maalimu sefu nae hakuelimika? Na profesa malima nae hakuelimika?vipi na samia nae? Au mzee kikwete nae hakuelimika?Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.
Mfano yule Mwenyekiti wa Chama cha Walimu aliekataa UDC,sasa hivi cha moto anakiona.