Mjue Jini Mahaba: Fahamu mengi kuhusu jini mahaba

SikuwaumbaMajini NA Watu....

Mkuu kwanini hapo tafsiri ya neno Majini isiwe labda hao wadudu wasionekana?kwa sababu wadudu ni tofauti na Watu maana hapo kuna neno NA ambalo huonesha kuwa majini ni kitu tofauti na watu,maana kwenye watu ndiko wanatoka hao watu maalumu na si kwamba Mungu aliumba watu halafu akaumba na hao watu maalumu kama kiumbe tofauti.

Mokaze
 
Huyu kaishajichanganya mkuu, alichokuwa anataka ni kukanusha mada yangu imemshinda akaanza kuongea pumba kazidiwa hata na wale waliopuuza tu thread.

Rakims
 
 
Mkuu Aya uliyonitajia inasomeka hivi "Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi" Q-72:6.

Utaona hapo mkuu bado hilo neno jini linatenganishwa na watu kama hapo inasema walikuwako wanaume katika WATU waliyokuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume WA KIJINI. Na kule kwenye 51:56 nako ni vilevile wanatenganishwa watu na majini,labda mkuu useme kwamba waliyotafsiri Qur'an ndio walikosea mahala kinyume na hivyo sioni kumake sense hilo neno jini kuwa na maana au kukusudia watu maalumu katika Qur'an. Nikijaribu kuangalia kinachoelezwa kwenye hiyo surat Jinn napata shida kuelewa ya kwamba wanaoelezwa mule ni binaadamu hawahawa ila wao ni watu maalumu.
 


Mkuu nitakuja ili tuende kwenye Surat Jinn. Pale ndipo tutapata picha nzuri.
 
Nadeal na mambo ya kiroho mkuu sina tunguli,
Knowledge of spiritual science and Magic.
zaidi ya unavyofikiria

Rakims
How did u come to know all of this... Did a jinn teach u??I'm interested to know your story
 
Nilichogundua kupitia huu Uzi kuna waislam safi wanaoishi na au kujua majini,waislam neutral wanaosikiaga tu,waislam fake wanaopinga uwepo wa majini,atheists,new age religion kina Waterbender na wakristo
 
How did u come to know all of this... Did a jinn teach u??I'm interested to know your story
Kila elimu mkuu watu hupata kwa kufundishwa hakuna tofauti na hivi tunavyoweza kuwasiliana kimaandishi sana swali lako usione nimekuignore ni kuwa sijaona kama umeuliza swali kamili

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu rakims hivi viumbe ni imaginary tuu au ndio hawa 2naosimuliwa na wanasayansi aliens, dunia yao hawa viumbe ni hapahapa duniani au 2kiwaita ndio wanatoka huko kwnye sayari yao kuja duniani! Je hawa ndio wazungu wanawa2mia kufanikisha technology zao na mambo yao mengi
 
hapo kwenye sababu za kumkumba mtu, namba 4 sijaielewa embu nifafanulie kidgo
 
Mwisho wake ni mbaya tu maana sharti ulilokubaliana ndio hill utalivunja siku unajua kwanini! nimada pana siku nitawapa
 
Mkuu hivi viumbe ni majini wao huishi dunia hii hii tuliopo isipokuwa wao hawaonekani na ukitaka kuwaona kuna njia za kuwatazama pia baadhi ya wazungu huwatumia hawa katika sayansi ya maendeleo lakini wengine pia huwatumia katika sayansi za uchawi wana maarifa kulingana na vile walivyokadiriwa na pia hawa sio aliens wao hao ni viumbe tofauti na hawa mkuu.

Rakims
 
hapo kwenye sababu za kumkumba mtu, namba 4 sijaielewa embu nifafanulie kidgo
Mtu anapoingia chooni na kuanza kujichua(punyeto) kama vile vijana wadogo wanapokuwa wanafanya hivyo au wale wenye kufanya mapenzi chooni ndio waathiriwa wakubwa wa viumbe hivi navyo hukaa nao muda mrefu sana.
Chooni tu peke yake kuna mashetani wengi sana ambao idadi yake haijulikani kinachojulikana wamo wa kike na wa kiume kuna utajo ukitaka kuwaona mabinti warembo sita humo unaweza kuwaona unaanza na "maridan maridan, baridan baridan........* na kuendelea hutokea mabinti warembo sita ambao ni mashetani nao wanaweza kumpa mtu anachotaka alama ya ujio wao ni choo kupanuka wewe ukiwa huo na ukimaliza mkataba nao panajifunga (USIJIFUNZE)

Upo utajo mwingine unaanza na Sor.........* hii utasikia jitu la miramba minne linahema kwenye kuta unaweza kuliambia likampige stoke yoyote atakae ingine choo chochote duniani na linaenda kufanya hivyo na inaaminika shetani hili ndio huwapa watu stroke wakiwa chooni, mbali na hapo mkuu yapo mashetani aina nyingi chooni ambayo hufanya kazi ya kudhuru watu

Nimekwambia haya ili kujibu swali lako kama bado sijajibu ulivyotaka uliza tena

Rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…