Military Genius
JF-Expert Member
- Mar 3, 2019
- 761
- 1,464
napita tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SikuwaumbaMajini NA Watu....
Mkuu kwanini hapo tafsiri ya neno Majini isiwe labda wadudu?kwa sababu wadudu ni tofauti na Watu maana hapo kuna neno NA ambalo huonesha kuwa majini ni kitu tofauti na watu,maana kwenye watu ndiko wanatoka hao watu maalumu na si kwamba Mungu aliumba watu halafu akaumba na hao watu maalumu kama kiumbe tofauti.
Mokaze
SikuwaumbaMajini NA Watu....
Mkuu kwanini hapo tafsiri ya neno Majini isiwe labda waduduSikuwaumbaMajini NA Watu....
Mkuu kwanini hapo tafsiri ya neno Majini isiwe labda hao wadudu wasionekana?kwa sababu wadudu ni tofauti na Watu maana hapo kuna neno NA ambalo huonesha kuwa majini ni kitu tofauti na watu,maana kwenye watu ndiko wanatoka hao watu maalumu na si kwamba Mungu aliumba watu halafu akaumba na hao watu maalumu kama kiumbe tofauti.
Mokaze
Mkuu, hiyo aya ni 51:56, ukitaka ujue kwamba majinni waliotajwa hapo ni watu lakini wenye sifa maalum iliyowafanya waitwe kwa sifa ya jinn, angalia aya hii hapa 72:6, hapo ndipo utaelewa kwamba majinn waliotajwa hapo ni watu wa aina fulani na wala siyo "jinni mahaba" au subiani au makata ambao wajinga wachache wanataka kutuaminisha ili Qur'an ionekane ni kitabu cha mambo ya kipuuzi, kitabu kisichotoka kwa Allah, kitabu cha hekaya za Abunuwas na ngano za Watoto wa chekechea za sungura na fisi,
Neno "jinn" ni neno lenye maana ya moja kwa moja ya "-- fichikana" (concealment), na sifa hii ya neno hilo imetapakaa katika vitu vingi sana kulingana na mzizi wake katika kiarabu, mfano:-
Mtoto akiwa tumboni (kajificha tumboni) anaitwa جنن, moyo pia unaitwa جنان (umejificha ndani ya mbavu), Bustani inaitwa جنة
Kwasababu ya mimea na vitu kadhaa vinavyoifanya ionekane kuwe na giza nk, Ngao (Shield) inaitwa مجنة (mujjanah) kwa sababu inakinga/kuzuia muonekano au silaha, Uwendawazimu unaitwa جنون (junnun) kwasababu unazuia/ kinga uwezo wa mtu kufikiri (kamusi la Taj). Maneno yote hayo yametokana na mzizi mmoja neno herufi za "jim na nun".
Sasa hapo utaona kwamba watu wanapokuwa na sifa za kufichikana, kutokuchangamana, kuonwa kirahisi na watu wa kawaida hapo kwa lugha ya kiarabu wanachukua sifa ya "jinn", mfano Viongozi wakubwa au watu wenye ushawishi katika jamii mfano matajiri nk, ambao aghalabu unaweza kuwaona wakitembea huku wanalindwa, huo ulinzi ndiyo kinga ya yeye kufikiwa au kuonwa au kuchangamana na watu wa kawaida (hiyo ndiyo inaitwa concealment) hao watu wa aina hiyo ndiyo wanaitwa majinn na ndiyo hao waliotajwa katika hiyo aya (51:56).yaani ni watu wenye hizo sifa za kutochangamana na watu kirahisi kutokana na majukumu yao.
Kwanini Allah katenganisha (watu na majinn) katika hiyo aya !??, Watu kama (nilivyosema) ni watu wa kawaida ambao kulingana na hali zao ngumu za kimaisha wanaweza kusema kwamba hawalazimiki kufanya ibada ila watu wakubwa (majinn) tu ndio wanaolazimika kufanya ibada halikadhalika watu wakubwa (majinn) wanaweza kusema kwamba kwasababu wao ni wakubwa kwa vyeo na utajiri wanaweza kushikwa na kiburi kwamba hawalazimiki kufanya ibada kwasababu wao wamejitoshekeza kimaisha na hawana haja ya kufanya ibada isipokuwa watu wa kawaida wanalazimika kufanya ibada, sasa Allah katika hiyo aya anakata mzizi wa fitina kwamba Wote majinn (Watu wakubwa) na watu wa kawaida wote ibada ni lazima na ndiyo sababu ya kuumbwa kwetu., mfano angalia ibada ya hijja huwezi kutofautisha kati ya viongozi, wafalme, Maraisi, machifu nk, na watu wa kawaida wote hufanya vitendo sawa kama ni kuvaa shuka na kunyoa upara au kurusha mawe nk.
Wataalamu wa lugha ya kiarabu huwa wanasoma Qur'an kama marejeo yao ili waweze kuwa wataalamu bora wa lugha ya kiarabu, hivyo basi Allah anayostaili yake ya kueleza aya zake na inatupasa tusome hizo aya huku tukimuomba atupe msaada wa kuzielewa vyema ama sivyo kwa kutokuelewa hizo aya Qur'an itaonekana ni kitabu cha kisichoeleweka na siyo muongizo kwetu, (Mungu apishe mbali).
Mwisho ni Binadamu PEKEE ndiye anatakiwa afanye ibada na ni yeye PEKEE siku ya kiyama ataulizwa juu ya matendo yake na ataingizwa motoni au peponi kulingana na matendo yake. Allah atuongoze tuwe wa peponi.
Mkuu Aya uliyonitajia inasomeka hivi "Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi" Q-72:6.
Utaona hapo mkuu bado hilo neno jini linatenganishwa na watu kama hapo inasema walikuwako wanaume katika WATU waliyokuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume WA KIJINI. Na kule kwenye 51:56 nako ni vilevile wanatenganishwa watu na majini,labda mkuu useme kwamba waliyotafsiri Qur'an ndio walikosea mahala kinyume na hivyo sioni kumake sense hilo neno jini kuwa na maana au kukusudia watu maalumu katika Qur'an. Nikijaribu kuangalia kinachoelezwa kwenye hiyo surat Jinn napata shida kuelewa ya kwamba wanaoelezwa mule ni binaadamu hawahawa ila wao ni watu maalumu.
Sawa mkuu haina shida.Mkuu nitakuja ili tuende kwenye Surat Jinn. Pale ndipo tutapata picha nzuri.
How did u come to know all of this... Did a jinn teach u??I'm interested to know your storyNadeal na mambo ya kiroho mkuu sina tunguli,
Knowledge of spiritual science and Magic.
zaidi ya unavyofikiria
Rakims
Wewe mzee unazinguaDah namba yake unayo ?
Nije nimridhishe huku
Kila elimu mkuu watu hupata kwa kufundishwa hakuna tofauti na hivi tunavyoweza kuwasiliana kimaandishi sana swali lako usione nimekuignore ni kuwa sijaona kama umeuliza swali kamiliHow did u come to know all of this... Did a jinn teach u??I'm interested to know your story
Mkuu hivi viumbe ni majini wao huishi dunia hii hii tuliopo isipokuwa wao hawaonekani na ukitaka kuwaona kuna njia za kuwatazama pia baadhi ya wazungu huwatumia hawa katika sayansi ya maendeleo lakini wengine pia huwatumia katika sayansi za uchawi wana maarifa kulingana na vile walivyokadiriwa na pia hawa sio aliens wao hao ni viumbe tofauti na hawa mkuu.Mkuu rakims hivi viumbe ni imaginary tuu au ndio hawa 2naosimuliwa na wanasayansi aliens, dunia yao hawa viumbe ni hapahapa duniani au 2kiwaita ndio wanatoka huko kwnye sayari yao kuja duniani! Je hawa ndio wazungu wanawa2mia kufanikisha technology zao na mambo yao mengi
Mtu anapoingia chooni na kuanza kujichua(punyeto) kama vile vijana wadogo wanapokuwa wanafanya hivyo au wale wenye kufanya mapenzi chooni ndio waathiriwa wakubwa wa viumbe hivi navyo hukaa nao muda mrefu sana.hapo kwenye sababu za kumkumba mtu, namba 4 sijaielewa embu nifafanulie kidgo