Mjue Judith Mhina, mwanamama aliyetaka kuinunua Vingunguti na Buguruni Mnyamani kabla hajazuiwa na Hayati Magufuli

Ukisikia Dar ardhi ina thamani basi unafikiri huo uthamani unalingana maeneo yote!
Wewe utakuwa upo isitimbi huko hata maeneo yanayozungumzwa unayasikia kwenye tv basi kama uko hapa mjini umejifungia sebuleni kwa shemeji yako
 
Japo ndio nimetoka kifungoni(jf ban) lakini nataka nikwambie kwamba huna akili timamu,usifikiri kila mtu anatoka huko porini kwenu na kujileta Dar na kuanza kuteseka kwa kulala kwenye vibaraza vya watu hatimaye mnaingizwa kwenye michezo michafu bila kupenda kwa tamaa ya kipato cha haraka haraka kuwa na adabu wengine ni baba zako na tuna miji yetu.
Wewe hata mji wenyewe hata sijui kama unaujua vyema basi tu unajitia ushujaa kwa vile umepata access ya kuingia JF kupitia kisimu chako ambacho umekipata kwa tabu sana na saa ingine na kudhalilishwa juu.
 
View attachment 2547499

Judith Mhina ni mkurugenzi wa makampuni ya PMM 2001 ESTATES LTD ambayo yanamiliki utitiri wa majumba na majengo Msasani, Mikocheni, Oysterbay na Masaki.

Pia anamiliki eneo kubwa sana la bandari kavu Vingunguti Nyerere Road.

Mama huyu alitaka kununua Vingunguti yote na Buguruni Mnyamani ili aongeze eneo la bandari kavu yake. Tayari alikuwa ameshawalipa watu wengi tu, ndipo Magufuli akasimamisha zoezi hilo.
Yani Magufuli. Wakristo hatupendi kuwainua wakristo wenzetu.
 
Hawa ndio watu tunaowahitaji, masikini wanaharibu miji yetu, DSM ilitakiwa ijengwe majengo mazuri ya kisasa apartments za magorofa kisha watu waje wapange, sio kuruhusu ujenzi holela.
Hivi unajua kwamba magorofa ni traps kama ilivyo vituo vya mafuta mijini?Uliona kilichotokea Uturuki?This should teach us.Mkuu ujenzi wa magorofa ni mfumo wa ujenji wenye hidden agenda:to kill en masse wanapo taka,na wadanganyika bila kujua wanaiga tu.Ni bora mtu upewe akili kuliko mali mkuu.
 
View attachment 2547499

Judith Mhina ni mkurugenzi wa makampuni ya PMM 2001 ESTATES LTD ambayo yanamiliki utitiri wa majumba na majengo Msasani, Mikocheni, Oysterbay na Masaki.

Pia anamiliki eneo kubwa sana la bandari kavu Vingunguti Nyerere Road.

Mama huyu alitaka kununua Vingunguti yote na Buguruni Mnyamani ili aongeze eneo la bandari kavu yake. Tayari alikuwa ameshawalipa watu wengi tu, ndipo Magufuli akasimamisha zoezi hilo.
Judith Muhina umeamua kujipigia promo ili upate uteuzi wa mama
 
Mji huanzishwa na wanyonge,kamegeni selous mjenge apartments,hao wa mnyamani waliojenga holela ndiyo waanzilishi wa mji,bila wao pasingekuwa na dar es salaam
Kwa sasa hao inabidi wahamishiwe rufiji huko.

Hawa waswahili hawawezi kutunza mji maana asili yao uchafu
 
Mswahili na wewe mtu wa mbalizi unayechambia tishu,nani anajua usafi!?
Heee[emoji15] waswahili maendeleo yenu kuchambia maji[emoji23][emoji23]. Alafu kuwa makini na hao wa mbalizi ndio wanamiliki mijengo tegeta na bunju nyie si mmeamua kuishi na joto na mbu tandale
 
Japo ndio nimetoka kifungoni(jf ban) lakini nataka nikwambie kwamba huna akili timamu,usifikiri kila mtu anatoka huko porini kwenu na kujileta Dar na kuanza kuteseka kwa kulala kwenye vibaraza vya watu hatimaye mnaingizwa kwenye michezo michafu bila kupenda kwa tamaa ya kipato cha haraka haraka kuwa na adabu wengine ni baba zako na tuna miji yetu.
Wewe hata mji wenyewe hata sijui kama unaujua vyema basi tu unajitia ushujaa kwa vile umepata access ya kuingia JF kupitia kisimu chako ambacho umekipata kwa tabu sana na saa ingine na kudhalilishwa juu.
Sasa kama wewe unadhalilishwa ndo upate kuishi unahisi Kila mtu anadhalilishwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heee[emoji15] waswahili maendeleo yenu kuchambia maji[emoji23][emoji23]. Alafu kuwa makini na hao wa mbalizi ndio wanamiliki mijengo tegeta na bunju nyie si mmeamua kuishi na joto na mbu tandale
Unajua tofauti ya maendeleo,kufanikiwa na kistaarabika!?
 
Unaongea nini mkuu, Jamiii yenye maendeleo indicator yake namba moja ni kustaarabika. Ukienda nchi kama UK, SA au US utaelewa.

Ukiona mtu anaiba chuma kwenye daraja kama Tanzanite ili akauze chuma chakavu ujue yupo kwenye nchi masikini na hajasraarabika.
 
Mbona keshaanza kuinunua tena, bora wampe tu aviondoe vile vijumba vichafu vinachafua Mji.
Buguruni imekita mizizi ya ushirikina pale ni dampo thus haina maendeleo.
Buguruni, magomeni, manzese, kiwalani,kigogo, vingunguti haya maeneo inatakiwa wauziwe watu wajenge vitega uchumi, Ili kubadili sura ya mji. Hayo maeno katikati ya mji yanatia aibu, ukiwa juu ya ndege ndo utajionea
Magomeni ipi unayoizungumzia?
 
Back
Top Bottom