Mjue Judith Mhina, mwanamama aliyetaka kuinunua Vingunguti na Buguruni Mnyamani kabla hajazuiwa na Hayati Magufuli

Mjue Judith Mhina, mwanamama aliyetaka kuinunua Vingunguti na Buguruni Mnyamani kabla hajazuiwa na Hayati Magufuli

Tanzania hii kuna mormons wewe ? Au umejichanganya na autosuggestion feature ya kwenye keypad yako ya simu unachagua Mormons badala ya Moravians ?
Mormons ni fundamental Christians pale Marekani na Wengine wachache America kusini ambao mfumo wao wa kuabudu ,mafundisho na kimaisha wako tofauti sana na madhehebu mengi ,wana mambo yao mengi ya ajabu to say the least Ila sijawahi kulisikia hili dhehebu Africa hii
Uko nyuma sana! Mormons wako tz mda mrefu,wana chapels tatu DSM na Arusha pia wapo.im not sure maeneo mengine
 
Kwenye ibada zao ni marufuku kama sio muumini kuingia ,wala kushoot video au picha , waumini wake wanafundishwa kutofuata mambo ya dunia hii mfano matumizi ya mobile phones ,nk , kutooa au kuolewa na watu wasio waumini wa Mormons sect , kuishi katika vijiji vya ujamaa wa kimormon , nk wanawake na wanaume ni kuvaa sare ,kuna sare za kuvaa wanapoingia kwenye hizo ibada zao za kikanisa na sare za kuvaa wanapokuwa nyumbani , hawa jamaa wana mambo yao mengi kuna documentary niliwahi icheki noma sana
Acha kudanganya watu,hakuna sare
 
Unaongea nini mkuu, Jamiii yenye maendeleo indicator yake namba moja ni kustaarabika. Ukienda nchi kama UK, SA au US utaelewa.

Ukiona mtu anaiba chuma kwenye daraja kama Tanzanite ili akauze chuma chakavu ujue yupo kwenye nchi masikini na hajasraarabika.
Vipi ukiona jamii mmezinguana kidogo anakutolea chuma na kukuua!?
 
Dah aseee wanaume , mnajadili hustle za mwanamke ???? Dah aseeeee hiiii ni hatareeeeee

#men_down
 
Vipi ukiona jamii mmezinguana kidogo anakutolea chuma na kukuua!?
wapi huko ukizingua hiyo chuma inatoka au wewe ulishwahi kutolewa wapi hiyo chuma? Tembea kaka usiangalie vitu kwenye movie.

Hivi unajua Tanzania haipo kwenye top 50 ya nchi salama Duniani?

Ulishawahi kusikia nchi zinakosa wafungwa mpaka wanaomba wafungwa kutoka nchi nyingine?

Denmark, switzeland, Finland, Austria, Ireland etc
 
Mkuu mbona unaongea kama umekatwa kichwa.
Umetaja US kwenye mfano wako, US ukizinguana na mtu unabisha hakupigi chuma hata kwa kumpigia horn tu!?
 
Hivi unajua kwamba magorofa ni traps kama ilivyo vituo vya mafuta mijini?Uliona kilichotokea Uturuki?This should teach us.Mkuu ujenzi wa magorofa ni mfumo wa ujenji wenye hidden agenda:to kill en masse wanapo taka,na wadanganyika bila kujua wanaiga tu.Ni bora mtu upewe akili kuliko mali mkuu.

Kufa ni wajibu,acha hofu za kishamba.
 
Unaongea nini mkuu, Jamiii yenye maendeleo indicator yake namba moja ni kustaarabika. Ukienda nchi kama UK, SA au US utaelewa.

Ukiona mtu anaiba chuma kwenye daraja kama Tanzanite ili akauze chuma chakavu ujue yupo kwenye nchi masikini na hajasraarabika.
We mchanga sana kifikra,huko ulikotolea mfano hakuna wizi serikalini,hakuna ufisadi!?..kuwa na mafanikio ya kilahidi(material) siyo kistaarabika
 
Hili ndio swali la msingi, kimsimgi sera za nchi katika halmashauri za majiji zibadilike, miji ijengwe kisasa na Serikali au watu wenye uwezo, ili kuipa hadhi miji yetu, sasa eti inashangaza Buguruni, Vingunguti nayo ni sehemu ya jiji huu ni upuuzi mtupu sehemu za hovyo, majengo yamechoka, kuchafu kunanuka umasikini yaani inasikitisha sana, hao wakazi wa hapo walipaswa waondolewe wakaishi huko Kisarawe, jiji lijengwe kisasa.
Kweli kabisa mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mchanga sana kifikra,huko ulikotolea mfano hakuna wizi serikalini,hakuna ufisadi!?..kuwa na mafanikio ya kilahidi(material) siyo kistaarabika
Haya wewe mkongwe kiakili kule kuna ufisadi kuliko huku, wanaiba mahela ya kununua ndege, wanasign mikataba hewa na wanakula rushwa kuliko huku! Ila ukienda ulaya usisahau kopo la kuchambia kule hamna, Case closed Gademit
 
Hwe mkongwe kiakili kule kuna ufisadi kuliko huku, wanaiba mahela ya kununua ndege, wanasign mikataba hewa na wanakula rushwa kuliko huku! Ila ukienda ulaya usisahau kopo la kuchambia kule hamna, Case closed Gademit
Hapa umedhihirisha kina Cha haja kubwa ndani ya fuvu lako
 
Back
Top Bottom