Uko nyuma sana! Mormons wako tz mda mrefu,wana chapels tatu DSM na Arusha pia wapo.im not sure maeneo mengineTanzania hii kuna mormons wewe ? Au umejichanganya na autosuggestion feature ya kwenye keypad yako ya simu unachagua Mormons badala ya Moravians ?
Mormons ni fundamental Christians pale Marekani na Wengine wachache America kusini ambao mfumo wao wa kuabudu ,mafundisho na kimaisha wako tofauti sana na madhehebu mengi ,wana mambo yao mengi ya ajabu to say the least Ila sijawahi kulisikia hili dhehebu Africa hii