Mjue Kanali Nyamburi Mashauri, ADC wa Rais Samia Suluhu

Hili jina Mashauri!
Linatia shaka,kama atakuwa anatoka kanda ileee,iliyokula bata sana,tangu 2015!!!

Jina kama la mkoa wa Mara ivi,uko maeneo ya Lake Zone kwa hayati.
Ipo hivi jeshini kiujumla watu wa kanda ya ziwa ni wengi Sana hasa wale wazoefu na waliingia kipindi cha Nyerere mpaka kipind cha Mkapa, wakati huo makabila mengine ya wasomi Kama Wahaya na Wachaga wenyewe walipendelea kujiendeleza zaidi huku wakiamini kazi za jeshi ni kazi za waliofeli ..... Kwa vyovyote vile Kwa sasa hv ukihtaji experienced army leader lazima ukumbane na kanda ya ziwa ......
 
Kwa Wahaya siyo Kanda ya Ziwa,
 
So sad, hakuna mtu aliyelua kama acd wa magu yaani ulaji ndio umeisha anarudi kambini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…