Mjue Kanali Nyamburi Mashauri, ADC wa Rais Samia Suluhu

Mjue Kanali Nyamburi Mashauri, ADC wa Rais Samia Suluhu

Walimu wako walipata sana tabu. Soma vizuri basi maelezo yangu hapo juu

Huenda ameangalia hiyo sura kwenye picha yake akashindwa kujua ni jinsia gani. Halafu Mkuu umekosa picha nyingine yenye hadhi ukaweka hiyo aliyopigia kwenye nyumba ya urithi? Hebu tazama kitasa cha huo mlango, na socket ya umeme hapo ukutani.
 
Zama mpya na mambo mapya. Samia Suluhu Hassan ndio Rais mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kula kiapo leo, akichukua nafasi ya Hayati John Pombe Magufuli...
Bandiko zuri, lakini halijakamilika.

Tafadhali tuelezee elimu ya Col. Nyambura Mashauri na kazi alizowahi kufanya ndani ya JWTZ.

Col. Nyambura amependeza sana nyuma ya Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan.
 
Zama mpya na mambo mapya. Samia Suluhu Hassan ndio Rais mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kula kiapo leo, akichukua nafasi ya Hayati John Pombe Magufuli...
Una haraka gani wewe?? Si utulie uandike vizuri? Hebu ongeza nyama basi, historia ya maisha yake ni muhimu kuieleza kinaga ubaga.
 
So sad .hakuna mtu aliyelua kama acd wa magu yaani ulaji ndio umeisha anarudi kambini
Kuwa mpole mkuu. Kanali Bernard Paul Masala Mlunga(Sio Mlungwa) anapanda cheo muda sio mrefu na kuwa Brig General na atapelekwa kuwa Attaché katika ubalozi

Kwasababu pamoja na kazi nyingine za ADC pale ikulu ni kuwa Defence attache(Kiungo wa MoD & Ikulu) kwahiyo huwa hawarudi nyuma

Wakitoka ikulu wanaenda ubalozini
 
Huenda ameangalia hiyo sura kwenye picha yake akashindwa kujua ni jinsia gani. Halafu Mkuu umekosa picha nyingine yenye hadhi ukaweka hiyo aliyopigia kwenye nyumba ya urithi? Hebu tazama kitasa cha huo mlango, na socket ya umeme hapo ukutani.

Kama ilivyo destrui yetu, hatuachi kulalamika yaaani.

Nisingweka picha bado mngelalamika, nimeweka picha bado mnalalamika, kwelu hiki ni kizazi cha kulalamika.
 
Bandiko zuri, lakini halijakamilika.
Tafadhali tuelezee elimu ya Col. Nyambura Mashauri na kazi alizowahi kufanya ndani ya JWTZ.
Col. Nyambura amependeza sana nyuma ya Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan.

Nitafutie wakili kwanza
 
Huenda ameangalia hiyo sura kwenye picha yake akashindwa kujua ni jinsia gani. Halafu Mkuu umekosa picha nyingine yenye hadhi ukaweka hiyo aliyopigia kwenye nyumba ya urithi? Hebu tazama kitasa cha huo mlango, na socket ya umeme hapo ukutani.
Nakupa mwezi tu utaleta bandiko la huyo ADC akipewa kazi ya kwenda ubalozini nchi za ukanda wa scandnavia huko kama alivyopewa shavu la ukuu wa wilaya au mkoa nashani ADC wa kwanza wa Magufuli ambae alimpokea toka kwa JK
 
Wata ng'oka wote hao sasa siyo zamu yao
Si vyepesi kama unavyodhani legacy ya mzee itachukua muda kuiondoa pia number 1 nae alikuwa kwenye mfumo huo huo pia yeye ni mtu wa upande wa pili
 
Ahsante sana Mkuu nilikuwa naangalia BBC nikamuona huyu mama kusema kweli nikabaki najiuliza ni nani huyu? Sasa umenifungua macho. Shukrani sana. 🙏🏾
Zama mpya na mambo mapya. Samia Suluhu Hassan ndio Rais mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kula kiapo leo, akichukua nafasi ya Hayati John Pombe Magufuli.

Baada ya kula kiapo, Rais Samia Suluhu (Double S) tukamuona mpambe mpya nyuma ya Rais Samia, kinyume na ilivyozoeleka na wengi, mpambe akawa mwanamama.

Wengi hawamfahamu, mpambe huyu anaitwa Nyamburi Mashauri ambaye ni Kanali kutoka JWTZ na nimepenyezewa kuwa ni mtu makini sana kwenye utendaji wa kazi hivyo Rais wetu amepata msaidizi sahihi.

Kanali Nyamburi Mashauri anachukua nafasi ya Kanali Bernard Mlungwa ambaye alikuwa mpambe wa Hayati Rais Magufuli.

Nikutakie utendaji mzuri wa kazi Kanali Nyamburi Mashauri katika jukumu lako kubwa la kumsaidia Rais wetu mpendwa Samia Suluhu.
View attachment 1729549
 
Back
Top Bottom