Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyekua( Kanali )Kwasasa Brig Gen Mbaraka Naziad Mkeremi alipandishwa cheo na akaenda ubalozi(Sitautaja) ila alirudi akafanya Mastars NDC ndo akapelekwa SKUA Kange,Tangambona aliyekuwa mpambe wa Kikwete na mpambe wa kwanza wa Magufuli sasa hivi ni mkuu wa chuo cha jeshi kilichoko Tanga?
Brig Kimaro alienda South Africa kuwa attaché sijui kama amerudi naeSi kweli kwamba lazima aende ubalozini,Kimaryo wa JK alienda ubalozini? Na yule JK aliyemaliza nae akahudumu pia kidogo kwa Magufuli mbona yupo Tanga kambini
Huyu siyo mlinzi. Ni mpambe tu.Mwili wenyewe unaonyesha ukileta za kuleta hapa utakuwa kama umepigwa na bluce Lee. Mama nae ajitahidi apungue changamoto haipendi unene.
Kwa hiyo hajui judo?.Huyu siyo mlinzi. Ni mpambe tu.
Huyo mama ni jinsia gani maana hapo sasa ndo tunaanza waza itakuaje?je ni mwanaume au mwanamke?maana rais ni mwanamke.
Ana kazi zaidi ya unayofikiria,Mtu makini kusimama nyuma ya rais na kushika mafaili??
Huyu Kombe ana undugu na mkuunwa kikosi cha usalama bara barani waczaman James kombe?siyo kweli kwamba wachagga waliamini kuwa kazi za jeshi ni kazi za waliofeli. wachaga walijiunga na jeshi hata wakati wa Mwalimu Nyerere na ndio maana kati ya makamanda wakuu wa vita vya kagera walikuwepo majenerali kama Tumainieli Kiwelu[CoS], Imrani Hussein Kombe, na Muhidin Mfaume Kimario, na askari wengine wengi ktk ngazi za kati. hata ukienda ukichimbua rekodi za Tanganyika Rifles jeshi mtangulizi wa Jwtz bado utawakuta askari wa Kichagga.
Loh! Umenivunja mbavu!😀 kuhusu hiyo nyumba!Huenda ameangalia hiyo sura kwenye picha yake akashindwa kujua ni jinsia gani. Halafu Mkuu umekosa picha nyingine yenye hadhi ukaweka hiyo aliyopigia kwenye nyumba ya urithi? Hebu tazama kitasa cha huo mlango, na socket ya umeme hapo ukutani.
Huyo mama ni jinsia gani maana hapo sasa ndo tunaanza waza itakuaje?je ni mwanaume au mwanamke?maana rais ni mwanamke.Rudia tena ulichouliza?
Yani kutoka kuteuliwa kuwa wakurugenzi wa mashirika na makatibu wakuu hadi kuanza kutupatia ulinzi wa mgongo, mbona mapema hivyo hata kabla ya baba yetu kuzikwaEnzi zenu zimekwisha sasa iliyobaki mjiandae kurudi kwenu koromitje mkalime mihogo tu
Jita1: Huyu mama kwa taaluma pia ni mwanasheria mzuri tu,
2: anajina kama la bibi yangu nyamburi manake Mbuzi/Goat kwa sisi wakurya!
Miaka sita? Watu kitambo tangu enzi za Mkapa na JK!!!Ni Ngumu kuwaepuka hawa watu miaka 6 watakuwa wameshajisimika deep sana ndani ya mfumo