Mjue Kanali Nyamburi Mashauri, ADC wa Rais Samia Suluhu

wakati wa vita vya kagera kila mkoa ulitakiwa kutoa idadi sawa ya vijana watakaokwenda mgambo na hatimaye kwenda mstari wa mbele. mkoa wa mara ndio mkoa uliokuwa na msisimko zaidi katika kujiandikisha kwenda vitani. nadhani hata wazee walikuwa wanajitokeza. kwa hiyo mkoa huo ukaruhusiwa kuzidisha ili quota ambayo kila mkoa ulikuwa umewekewa.

kuhusu watu wa kaskazini kuwepo jeshini naweza kukuhakikishia kuwa walikuwepo wengi wa kutosha. tena kuna miaka ya 70 maofisa wa jwtz toka kaskazini waliondolewa jeshini na kupelekwa ktk mashirika mbalimbali ya umma.
 
Huyu kombe ana undugu na mkuunwa kikosi cha usalama bara barani waczaman James kombe?
kuna kombe wanaotokea machache na utakuta wana majina ya kiislamu, na kombe wanaotokea marangu wana majina ya kikristo. nadhani kombe aliyekuwa Cos wa Jwtz na DG wa Tiss hana mahusiano na kombe aliyekuwa Polisi Usalama bararani.
 
Nakupa mwezi tu utaleta bandiko la huyo ADC akipewa kazi ya kwenda ubalozini nchi za ukanda wa scandnavia huko kama alivyopewa shavu la ukuu wa wilaya au mkoa nashani ADC wa kwanza wa magufuli ambae alimpokea toka kwa JK
Duu jamaa umechanganya vibaya sana, ADC Alipandishwa cheo kuwa brig. General we unasema alipewa ukuu wa wilaya
 
Enzi za meko, ni mshika mkoba wenye pesa kwenye mafungu ya mil 5.
 
Kama mwanamume? Aide de camp......................An aide-de-camp (UK: /ˌeɪddəˈkɒ̃/, US: /-ˈkæmp/; French expression meaning literally helper in the [military] camp) is a personal assistant or secretary to a person of high rank, usually a senior military, police or government officer, or to a member of a royal family or a head of state.
 
Major General Pombe Hayati, Major General Alfred Mbowe, Hayati, , Major General Meela, Major General Kiwelu
 
Hivi nii mtoto wa Brigadier General Eng Mashauri aliyekuwa Nyumbu?
 
Hii ikoje tuliambiwa kwenye haya maadhimisho ya paredi za wajeda Tanzania haina commando ke. Huyu tena canal kapatikana wapi.? Au ni quartermaster tu?
 
Ni Ngumu kuwaepuka hawa watu miaka 6 watakuwa wameshajisimika deep sana ndani ya mfumo
Nyie mnataka akina nani? Natoka kaskazini na sioni tabu mwenye sifa kupewa nafasi, ati tuache kisa katoka kabila au kanda moja! Tuache ungumbaru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…