wakati wa vita vya kagera kila mkoa ulitakiwa kutoa idadi sawa ya vijana watakaokwenda mgambo na hatimaye kwenda mstari wa mbele. mkoa wa mara ndio mkoa uliokuwa na msisimko zaidi katika kujiandikisha kwenda vitani. nadhani hata wazee walikuwa wanajitokeza. kwa hiyo mkoa huo ukaruhusiwa kuzidisha ili quota ambayo kila mkoa ulikuwa umewekewa.Mkuu Kwan nimesema wote , watu wa kaskazin enzi hzo idadi ilikuwa ndogo walioenda jeshi , na kpind cha vita ya kagera wanaume wa mkoa wa mara walijiandikisha wengi Sana kuzidi mkoa wwte Tanzania , na Kwa sa hv wengi Wana miaka hamsin na kuendelea na hao ndo experienced ndo wanashika nyazifa za juu jeshini , sio kwamba ni ukabila Ila majamaa ndo wamejaa , ukitafta wakuu wa jeshi wenye uzoefu unakuta wao ndo wapo wengi kulinganisha na makabila mengine, Kwa vyovyote vile kwenye vitengo vingi vya ulinzi utawakuta
kuhusu watu wa kaskazini kuwepo jeshini naweza kukuhakikishia kuwa walikuwepo wengi wa kutosha. tena kuna miaka ya 70 maofisa wa jwtz toka kaskazini waliondolewa jeshini na kupelekwa ktk mashirika mbalimbali ya umma.