Mjue Kanali Nyamburi Mashauri, ADC wa Rais Samia Suluhu

Si kweli kwamba lazima aende ubalozini, Kimaryo wa JK alienda ubalozini? Na yule JK aliyemaliza nae akahudumu pia kidogo kwa Magufuli mbona yupo Tanga kambini
Hata Brigedia Mkeremy pia yuko huko TFS
 
Tanzania bila kuwa na watu kutoka mkoa wa Mara mngeonewa sana na nchi jirani.
 

Ahsante sana kwa Msaada kwao.
 
Upo correct kabisa Shule ya Kijeshi ya ulinzi wa Anga na ninakumbuka siku inapata ithibati toka NACTE katika sherehe za ufunguzi alikuwepo CoS Lt. Gen Y. Mohamed
 
We sema tu unamjua hizi simulizi za kusema umepenyezewa ni za kishushi,endelea kupiga tarumbeta.
 
Jina kama la mkoa wa Mara hivi, huko maeneo ya Lake Zone kwa hayati.
Ni kweli ni Mara moja hiyo. Halafu sikia hii; hata yule "Black man who used to stand behind JPM and 'died' with Covid - 19 according to Lissu (ahahahahahahaha!) naye anaitwa Mashauri! Sijui ni coincidence au veepeeee!!!!
 
Ni kweli ni Mara moja hiyo. Halafu sikia hii; hata yule "Black man who used to stand behind JPM and 'died' with Covid - 19 according to Lissu (ahahahahahahaha!) naye anaitwa Mashauri! Sijui ni coincidence au veepeeee!!!!
Now, who died of covid- Jpm or Mashauri?
 
Unit maalumu ya ulinzi wa Rais kwa kushirikiana na TISS + Jeshi (Military intelejensi) ndiyo wanachakata.
Hamna Kitu, Kanali Mlunga alikuwa Msukuma na ana undugu na Jiwe.
Jiwe akamtaka, hakuna uchakataji wowote
 
Unit maalumu ya ulinzi wa Rais kwa kushirikiana na TISS + Jeshi (Military intelejensi) ndiyo wanachakata.
Enzi za Nyerere aliwahi kuwa na ADC kutoka Polisi, ni Ushamba na Show off za Ma Raisi wa Africa kuweka Afisa wa Jeshi Nyuma yake, ni aina ya intimidation
 
Wengi wanadhan ADC ni Mlinzi wa Raisi, kwamba lazima awe fit na blah blah kibao
Iko hivi,, ADC ni neno la Kifaransa, Aid Dr Camp, Maana yake ni Field Aiistant kwa Kiingereza, anakuwaga Afisa wa Jeshi kuwa Nyuma ya Raisi au Member of Loyal Family Muda wote, ni Mpambe tu, kama Mpambe wa Bwana Harusi, hana anacholinda Maana Walinzi wa Raisi wapo, full equipped, kazi ya ADC ni Kubeba Mikoba ya Raisi na Kumsaidia Raisi, kuna siku Jiwe alisabau Tarehe, ADC akamkumbusha.
Kwa hiyo huyo Mama wala sio lazima awe Commando, ni Kupendezesha tu Presence ya Raisi, na pia ni Symbol ya kuwa Raisi ni Commander in Chief
Enzi za Nyerere aliwahi kuwa na ADC kutoka Polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…