Mjue Kwa ufupi Cornele Nangaa Yobeluo, Kiongozi wa waasi huko DRC

Status
Not open for further replies.
Vipi kuhusu hii habari kwamba migodi yake mingi mikubwa imechukuliwa na serikali ya Tshekedi na hivyo kumpa hasira na kuamua kujiunga na M23 ni ya kweli?
 
Na hao wanajeshi wanaopigana nje ya mfumo, wanamuamini vipi huyu mwamba? Pesa za kuwalipa anapata wapi?
 
Felix akifanya ujinga yatamkuta ya Assad, asante kwa hints.
 
Felix akifanya ujinga yatamkuta ya Assad, asante kwa hints.
Hadi hapo tayari kaishabugi, ana wakati mgumu sana, hii ishu ilishapangwa ikapangika ,ili achomoke hapo , inatakiwa atumie akili km za Muzee Kabila,kutafuta nchi washirika ,wakamsaidie
 
Kwa hiyo huyu ndio amelowa damu za wakongoman? Inabidi akatwe makende akiwa hai.
 
Swali zuri nijibu Kwa mtazamo wangu na kile nilichokiona kipindi nikiwa huko

Kwanza ukiachana na rasilimali ambazo ziko huko east

Mgogoro wa kwanza east DRC ni utambuzi wa wakazi na wenyeji hili ndio tatizo Kuu kule east ,nani mkazie mwenyeji na mzawa na nani mkazie mgeni ...( Waliozaliwa kabla na baada )

Pili eneo husika kimkakati Kwa nchi km Rwanda, Uganda na Sudan ( Rejea hizi nchi zimepitia style ya kupindua a na sehemu ya kujiandaa kupindua ni huko east Congo

Kule ktk misitu ya Congo Kuna waasi wanitwa FDLR Hawa ni maadui wa Kagame, ni wahutu waliokimbia Rwanda 1994,

Kuundwa Kwa M23 iliku kuwadhibiti hao na kuifanya Congo isiwe stable kule east FDLR wakajipanga ..
 
K

Jibu rahisi ni hili Congo haijaqahi kuwa taifa huru inapandikiziwa mamluki kuanzia viongozi, vikundi vya waasi na aina zake zote. Lengo nikuifanya isiwe stable state hata kama atachukua mwingine naye atakuwa kibaraka wa wazungu. Wanachifanya ni ufadhili kutoka mataifa tofauti ya ulaya na Usa River . Viko vikundi vingi mno. Kinachofuatwa ni malighafi hususan madini ,iko dhahabu na sasa cobalt ambayo ni deal kubwa .
Ninachoweza kushauri EAC ni kuimega RDC na kujitwalia maeneo maana ni wajinga.
Na ujinga huu ndio unaendeshwa humu kwa propoganda za nani mbabe kati ya Tz na Rwanda lengo watu wakiwashe, na mmoja ameshajazwa kichwa kwa vimsaada vya kijeshi na intel info bila kujua kuwa dunia imegaqnyika block 2 na kila moja ni giant. Ukisifiwa magharibi mwenzako naye atapongezwa mashariki na wote watapewa zana na intel info. Mfano kama Rwanda ataamua kupigana na SA au TZ ajue Urusi na CHina watakuwa back up kwa hao na hata sasa intel infos ziko wazi.

USHAURI PK na wengine waachwe kujazwa vichwa ili wapigane, qakae kqma ndugu wasonge mbele.
Ngoja nijipange kuondoka kigali nienda zangu Bundibu....
 
Mimi namkubali sana yule msemaji wa m23 anayeitwa kanali willy Ngoma.Akianza kuoongea madai Yao unaona kabisa ni ya msingi na wenye matatizo ni serikali iliyoko madarakani.
Yule juzi hapa alikua anaongea kalewa bangi na pombe mpaka kujieleza tabu 🤣🤣
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…