komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,783
- 2,479
Linanuka damu za wakongo. Baya kuliko Shetani.Cornele Nangaa Yobeluo ,aliwahi kuwa Mkuu wa tume ya uchaguzi ya Congo , uchaguzi uliomuingiza Rais Felix Tshishekedi Tshilombo
Nangaa ambae Kwa Sasa ndio kiongozi wa muungano wa waasi ndio anayepeperusha Bendera ya waasi kuelekea Kinshasa
Nangaa na Felix walipishana mtazamo akaondolewa ktk nafasi hiyo Sasa anataka kwenda Kinshasa kumtoa Felix
Njia na mbinu anazotumia ni zile zile alizotumia Mzee Kabila Snr
Je, atafanikiwa ....
Nitarudi ...