Mkuu mie skubaliani na opption ya kunyakuliwa na EA. Kongo ni taifa huru na zama hizi hakupaswi kuwa na mawazo ya kikoloni. Kinachopaswa kufanyika ni kuwawezesha wawe na amani, state yao iwe imara.K
Jibu rahisi ni hili Congo haijaqahi kuwa taifa huru inapandikiziwa mamluki kuanzia viongozi, vikundi vya waasi na aina zake zote. Lengo nikuifanya isiwe stable state hata kama atachukua mwingine naye atakuwa kibaraka wa wazungu. Wanachifanya ni ufadhili kutoka mataifa tofauti ya ulaya na Usa River . Viko vikundi vingi mno. Kinachofuatwa ni malighafi hususan madini ,iko dhahabu na sasa cobalt ambayo ni deal kubwa .
Ninachoweza kushauri EAC ni kuimega RDC na kujitwalia maeneo maana ni wajinga.
Na ujinga huu ndio unaendeshwa humu kwa propoganda za nani mbabe kati ya Tz na Rwanda lengo watu wakiwashe, na mmoja ameshajazwa kichwa kwa vimsaada vya kijeshi na intel info bila kujua kuwa dunia imegaqnyika block 2 na kila moja ni giant. Ukisifiwa magharibi mwenzako naye atapongezwa mashariki na wote watapewa zana na intel info. Mfano kama Rwanda ataamua kupigana na SA au TZ ajue Urusi na CHina watakuwa back up kwa hao na hata sasa intel infos ziko wazi.
USHAURI PK na wengine waachwe kujazwa vichwa ili wapigane, qakae kqma ndugu wasonge mbele.
Ngoja nijipange kuondoka kigali nienda zangu Bundibu....