Mjue Kwa ufupi Cornele Nangaa Yobeluo, Kiongozi wa waasi huko DRC

Status
Not open for further replies.
Mkuu mie skubaliani na opption ya kunyakuliwa na EA. Kongo ni taifa huru na zama hizi hakupaswi kuwa na mawazo ya kikoloni. Kinachopaswa kufanyika ni kuwawezesha wawe na amani, state yao iwe imara.
 
Mkuu mie skubaliani na opption ya kunyakuliwa na EA. Kongo ni taifa huru na zama hizi hakupaswi kuwa na mawazo ya kikoloni. Kinachopaswa kufanyika ni kuwawezesha wawe na amani, state yao iwe imara.
Uko sahihi, ille option nilisema not seriously. Wazo lako ndio lenyewe lkn haqa watu hawajitambui wananunulika wao kwa wao
 
Mbona siyo Mtutsi?
 
Hakika kweli kwa ufupi.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Anatumika tu huyu na Kagame, baadae matumizi yake yakiisha atahifadhiwa sehemu salama.
 
Felix hatoki hapo, nasikia sadc wanakutana leo zimbabwe,huko south africa fighter jets zimefunga safari,hizi kelele za mtu mrefu kuhusu south africa mara sadc ni baada ya kuona kuna dozi nene inaandakiwa
Ngoja tuone Frontline,zaidi watazidi kugain territories
 
Mbinafsi sana huyu. Kaweka hatarini maisha ya mamilioni ya watu, kisa katofautiana na mshikaji wake. Mbinafsi mwandamizi huyu.
 
Anaweza kufanikiwa kama raia hawatakuwa na morali ya kusapoti jeshi la taifa
 
Hilo jina lake la kwanza aitwa Corneille.

Kuna lile jambo lilofanyika 2018 na kicha Tsishekedi akatangazwa mshindi. Huyu jamaa ana ufahamu na kilotokea ndo maana kaamua iwe vingine.

Ile bohari kulikohifadhiwa mashine 8,000 za kupigia kura ziliungua moto na zote zikaharibiwa.

Nangaa pia amesoma uchumi chuo kikuu cha Kinshasa na kafanya kazi UN kwenye miradi ya maendeleo.

Ana utajiri wa kiaina na anajishghulisha na biashara kuanzia usafirishaji, hoteli na nyumba za makazi (estates).

Hii waionaje mkuu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…