Mjue Kwa ufupi Cornele Nangaa Yobeluo, Kiongozi wa waasi huko DRC

Status
Not open for further replies.
Linanuka damu za wakongo. Baya kuliko Shetani.
 
Kwani Felix amefeli wapi?
Amefeli kutokusoma ramani ya anakokwenda na ropo ropo ya kutaka kuonekana yupo clean. Kwa hizi kelele zilivo pamba moto asipokuwa makini either yeye au Paulo mmoja ataliwa kichwa na story itaaishia hapo.
 
Duh! Sema majina ya kikongo na kisauzi yale ya Asili mi nayapenda sana.
Angalau wanauenzi utamaduni wao sio kama wale walioingizwa choo cha kike kwa kudanganywa kwamba ili uingie mbinguni lazima uchukue jina la aliyekuletea dini..๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›
 
Binadamu wana roho mbaya sana, bila kujali watu wangapi wataumia wao wanacho fikiria ni kumtoa Rais madarakani
 
Angalau wanauenzi utamaduni wao sio kama wale walioingizwa choo cha kike kwa kudanganywa kwamba ili uingie mbinguni lazima uchukue jina la aliyekuletea dini..๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›
Kama kuna makanisa na misikiti basi wao pia ni nyumbu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ