Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
kwa hiyo na huyu mtusi, mbona pua kama kirungu? na hafanani na banyamulenge.Cornele Nangaa Yobeluo ,aliwahi kuwa Mkuu wa tume ya uchaguzi ya Congo , uchaguzi uliomuingiza Rais Felix Tshishekedi Tshilombo
Nangaa ambae Kwa Sasa ndio kiongozi wa muungano wa waasi ndio anayepeperusha Bendera ya waasi kuelekea Kinshasa
Nangaa na Felix walipishana mtazamo akaondolewa ktk nafasi hiyo Sasa anataka kwenda Kinshasa kumtoa Felix
Njia na mbinu anazotumia ni zile zile alizotumia Mzee Kabila Snr
Je, atafanikiwa ....
Nitarudi ...
Hahahaha,huyo ni mkinwaa ,wanatokea Kinshasa huko, kawekwa front ili kushawishi wacongo na jumuia za kigenikwa hiyo na huyu mtusi, mbona pua kama kirungu? na hafanani na banyamulenge.
na kama ni hivyo, wakimaliza vita na kupata wanachokipata lazima aelekee kibra. ili wabaki wao tu.Hahahaha,huyo ni mkinwaa ,wanatokea Kinshasa huko, kawekwa front ili kushawishi wacongo na jumuia za kigeni
Hahahahana kama ni hivyo, wakimaliza vita na kupata wanachokipata lazima aelekee kibra. ili wabaki wao tu.
Kirefu cha JKK ni nini?kuna sehemu unaniachaSawa Rafiki,ila kama Nangaa Yuko front hiyo vita ni ngumu Kwa Felix , maaana jamaa anajua ushindi wa Felix ktk uchaguzi Mkuu ,lkn pia Nanga ni mtu wa JKK na muumini safi wa Kanisa katoliki ambalo Kwa DRC Lina sauti ..
Nina picha nilipiga nae kipindi amekuja Lubumbashi kutembelea waangalizi wa kujitolea nikiwa mmoja wapo
Uko vizuri na historia yaCongo,kuna kitu nashindwa kuelewa zamani mlikuwa mnasema M23 ni jeshi la seven,lately nasikia wakisema M23 ni ya Kagame,na nikisikiliza habari kama BBC nasikia wanasema wazi kabisa kwamba majeshi ya M23 yameteka wanajeshi wa Romania na kuwapeleka Kigali kisha kuwaruhusu waondoke je hii imekaaje?Ha hahahaha unajua Mimi sio muandishi mzuri ,ila Nina vitu navijua kuviandika vile inatakiwa ndio nashindwa
Ila tembea na hits hizi :
1.Nangaa baada ya kupishana mtazamo na Felix alienda kuishi Kenya Kwa muda
2.Rais Felix anakataa uwepo wa majeshi ya East Africa na kuchukua Sadc
3.Vikosi vya Kenya vinaondoka East Congo kupisha Samidrc
4.Goma wanaunda makundi ya kizalendo kuwakabili M23
5.M23 wanajibu mapigo Hadi Sasa tunachokiona