Mjue kwa undani nabii TB Joshua

Mjue kwa undani nabii TB Joshua

Mtumishi wa mungu hauwezi ukamiliki ukwasi namna hiyo, auze mali zake awagaie wasiojieeza au atumie utajiri wake wote ajenge apartment kwa homeless kama alivyofanya Manny parciao.

Ni vigumu Tajiri kuingia ufalme wa mungu.
Ndio akili zenu hizo soma biblia utapata maramia duniani kisha uzima Wa milele
 
I Realy Love TB Joshua The Way He Adresses Gospal Mesage To Audience.
And That Miracle He Perfom In Jesus Name.
And That Reconciliations He Mediate To Broken Families.
And That Assistance He Provide To The Needy.
And That Man To Man Prophesy He Speaks.
And That Praise Songs They Sing In The Church.
And All, He is Doing.
Which Turn The World Up Side Down.
To Prove Christianity Is Real.
To Prove God Is Avilable, Very Powerful And Above All.
Man Of God Please Pray For Us

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uzi

uzi umefufuka?
 
Namkubali sana TB Joshua kwa mafundisho yake ya kujenga
TB Joshua, Mungu amempa Kibali cha Maombezi na Uponyaji.
Kwa wasomaji wa Biblia wanaelewa.
Mungu huwa anagawa vipaji mbalimbali kwa watumishi wake anaowachagua YEYE
Ninachosema.
Kwa sisi wahitaji tutumie hii fulsa ambayo Mungu amemsimika mtumishi huyu.
Kwa sisi wenye vifungo vigumuvigumu na magonjwa yasiyotibika.
Hakuna kinachoshindikana kwa Mungu hakuna.
Hii haina maana kuwa TB Joshua ni Mtakatifu.Au ni bora kuliko watumishi wengine wa Mungu. (hapana +)
Mungu huamua tu, Mtumishi Mwakasege kumpa kipaji cha Uinjirishaji na Mtumishi Mwingira kumpa kipaji cha ufikishaji wa Neno la Mungu maeneo ambayo hakuna Injiri.
Hao wote wanajenga nyumba moja ya Kristo. KANISA.
Nasema kwa Upendo mwema wa Kristo, kuwa
Kwa wote wenye vifungo vya mateso na Magonjwa Sugu, wa wakati huu.
Mungu yupo mahali pote na kwa kila Mtumishi wa Mungu na watakatifu wake,
Kwa wakati huu tulionao Mungu amemwinua mtumishi wake aliyemchagua, TB Joshua ili kuponya kila aina ya ugonjwa wa Binadamu.
Nasema tena, kwa lugha nyepesi sana.
Sasa hivi Mungu ameamua kuponya magonjwa yote yamsumbuayo Binadamu yeyote yule, kupitia watumishi wake.
Tutumie hii fulsa, imekuja wakati wetu, ya kesho hatuyajui.

Mwenye Masikio Na Amesikia.
 
Baada ya Pac kujengea nyumba maskini yeye kawa maskini?

Akijengea nyumba homeless homeless wataisha mitaani?

Kuwa mtu wa Mungu hakumaanishi uwe maskini kwanza Mungu hapendi umasikini, shida na dhiki. Sio kila tajiri ni mbaya na sio kila maskini ni mtu wa Mungu. Usijinyime kama mlokole na uzima utaishia kuwa mdhambi zaidi

Nevertheless, simuamini huyu bwana TB wala nini
Sijakuelewa
 
TB Joshua, Mungu amempa Kibali cha Maombezi na Uponyaji.
Kwa wasomaji wa Biblia wanaelewa.
Mungu huwa anagawa vipaji mbalimbali kwa watumishi wake anaowachagua YEYE
Ninachosema.
Kwa sisi wahitaji tutumie hii fulsa ambayo Mungu amemsimika mtumishi huyu.
Kwa sisi wenye vifungo vigumuvigumu na magonjwa yasiyotibika.
Hakuna kinachoshindikana kwa Mungu hakuna.
Hii haina maana kuwa TB Joshua ni Mtakatifu.Au ni bora kuliko watumishi wengine wa Mungu. (hapana +)
Mungu huamua tu, Mtumishi Mwakasege kumpa kipaji cha Uinjirishaji na Mtumishi Mwingira kumpa kipaji cha ufikishaji wa Neno la Mungu maeneo ambayo hakuna Injiri.
Hao wote wanajenga nyumba moja ya Kristo. KANISA.
Nasema kwa Upendo mwema wa Kristo, kuwa
Kwa wote wenye vifungo vya mateso na Magonjwa Sugu, wa wakati huu.
Mungu yupo mahali pote na kwa kila Mtumishi wa Mungu na watakatifu wake,
Kwa wakati huu tulionao Mungu amemwinua mtumishi wake aliyemchagua, TB Joshua ili kuponya kila aina ya ugonjwa wa Binadamu.
Nasema tena, kwa lugha nyepesi sana.
Sasa hivi Mungu ameamua kuponya magonjwa yote yamsumbuayo Binadamu yeyote yule, kupitia watumishi wake.
Tutumie hii fulsa, imekuja wakati wetu, ya kesho hatuyajui.

Mwenye Masikio Na Amesikia.
Pumbavu wewe
 
Back
Top Bottom