Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
AMEN, AMEN, AMENNilikuwa na aleji kali sana kichwani, hospital nilipima nikatumia dawa. Zaidi ya miaka mitatu bila mafanikio.
Mwaka Jana nikiwa Moshi nikafuatilia maombi yake Kwa TV. Nikashika penye tatizo. Kweli tokea hapo nimepona.
Huwezi amini. But it's true.
Mimi naamini hilo as long as una Imani pia.
Mimi pia mwaka 2013 mwezi wa 7 pia nilipata muujiza mkubwa sana kupitia usomaji wa kitabu chake kidogo.
Pia nilipona kifua kilichonisumbua tangu utotoni katika semina ya Mwl. Mwakasege.