Mjue kwa undani nabii TB Joshua

Mjue kwa undani nabii TB Joshua

Mtumishi wa mungu hauwezi ukamiliki ukwasi namna hiyo, auze mali zake awagaie wasiojieeza au atumie utajiri wake wote ajenge apartment kwa homeless kama alivyofanya Manny parciao.

Ni vigumu Tajiri kuingia ufalme wa mungu.
Ukisoma bibilia hakuna mtumishi wa Mungu alokua masikini
 
hahahaa
sku penda kuwakumbusha watu machungu.
na wenyewe wanayajua hayo.
ila Lumumba koooooonyo,sina hamu nao!
wakafanya mtumishi aonekane karubandika!
ahahahhhahhahahahha!
kabisa unabiiii ukaenda hewani!
 
ila Lumumba koooooonyo,sina hamu nao!
wakafanya mtumishi aonekane karubandika!
ahahahhhahhahahahha!
kabisa unabiiii ukaenda hewani!
hahahahaa
mi mwenyewe siku amini yaan walimchinja halaf bila hata kumwangalia usoni
 
Mungu anamtumia sana lakini yeye kama binadamu hawezi kosa mapungufu machache kama kujua mapema jengo lake litaanguka, ushindi wa Trump lakini kwa kiwango kikubwa utabiri wake uwa unakuwa sahihi
Mapungufu lzm yawepo ili kudhihirisha kwa nae ni binadamu.ila makubwa na mema ni mengi zaidi aliyofanya kuliko mapungufu.
Biblia inasema mtafanya miujiza zaidi ya aliofanya Yesu,kws hio ni kipawa anacho.
 
WAle mnaomfahamu sana kuliko mwandishi, leteni vielelezo sahihi badala ya ubishi tu kama ule wa "Unabisha nini wakait Mange ametuambia". ambao ni plain upumbavue.

Wale mnaosema ni msanii, mtakuwa mnaijua sanaa vizuri. Kwa umaskini wenu wote huo, kila siku mnalalamika kukosekana kwa ajira, maisha magumu, huduma kwa destitutes hakuna, watoto na ninyi wengine hamna fedha za kwenda shule, hakuna kuingiza picha mara kupiga sanaa za kigeni, kwa nini msifanye sanaa kama ya TB Joshua ambayo inalipa sana? Bila shaka mnaweza Kwa nini msifanye sanaa ile ili mjipatie nayi fedha na wafuasi wengi namna ile? . FAnyeni sasa mjipatie mafwedha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kwa sanaa hiyo, anzishenii sanaa ya uponyaji ili muwe mnawapanga watu wenye kansa na matatizo ya kiroho muonyeshe wanafunguliwa na watu mailllion kwa mamilioni wawe wanaambizana kufake kwa sababu wanapenda kuhubiri sanaa zenu. Tena na sasa TB anahamia Israel, fanyni hiyo sanaa ili watu wawe wanasafiri kutoka duniani kote kuja kwenu kuwaungisha hayo maonyesho.

Wewe unayesema alitabiri unabii wa Clinton haukutumia, unajua Trump alpata kura ngapi za jumla juu ya Clinton? Anzisha na wewe unabii wako wenye tafsiri za ki philosophia za kibinsamau kama hadith ili uongee lugha ya binadamu moja kwa moja. Lakini huyu msanii wenu, anafutata kiongozi wake aliyempfa usannii ambaye pia hakueleweka na binadamu aliposema "ATALIVUNJA HEKALU ILILOJENGWA KWA MUDA MREFU SANA HAPO AWALI, HALAFU YEYE LIJENGE KWA MUDAWA SIKU TATU". Ikiwe yeye na bwana wake hawakuleweka na binadamu watumiao akili za kibinadamu, bila shaka wewe utaeleweka zaidi.

Muda mnaotumia kunena haya, bila shaka ungelikuwa na faida kwenu kama mngeutumia kuratibu hii sanaa yenu ambayo nmewaambia hapa. Vinginevyo ninaona rangi ya wivu na upumbavue.
tapeli tu huyo hana lolote na huko Israeli watamfukuza tu
 
Mungu anamtumia sana lakini yeye kama binadamu hawezi kosa mapungufu machache kama kujua mapema jengo lake litaanguka, ushindi wa Trump lakini kwa kiwango kikubwa utabiri wake uwa unakuwa sahihi
alishatabiri nini kikawa sahihi? huyo anabahatisha tu hana lolote
 
Back
Top Bottom