Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe!!!!kuokoka ni lazima
Mungu anamtumia sana lakini yeye kama binadamu hawezi kosa mapungufu machache kama kujua mapema jengo lake litaanguka, ushindi wa Trump lakini kwa kiwango kikubwa utabiri wake uwa unakuwa sahihiHe is blessed!..
Alitabiri Clinton ata shinda ikawa hola
mpaka leo namuonaga ana tuibia tu pia akatabiri lowasa anashinda
japo alishinda kweli
hahahaaalitabiria wengiiiii,usijifanye umesahau!
MI SIMO!
Ukisoma bibilia hakuna mtumishi wa Mungu alokua masikiniMtumishi wa mungu hauwezi ukamiliki ukwasi namna hiyo, auze mali zake awagaie wasiojieeza au atumie utajiri wake wote ajenge apartment kwa homeless kama alivyofanya Manny parciao.
Ni vigumu Tajiri kuingia ufalme wa mungu.
ila Lumumba koooooonyo,sina hamu nao!hahahaa
sku penda kuwakumbusha watu machungu.
na wenyewe wanayajua hayo.
Hujaelewa soma tenaHahahahaha uongoooo alipokuwa na miaka 20 facebook ilikuwa bado haijawa hahaahah uyoooo
hahahahaaila Lumumba koooooonyo,sina hamu nao!
wakafanya mtumishi aonekane karubandika!
ahahahhhahhahahahha!
kabisa unabiiii ukaenda hewani!
ahhahahahaha ILA ZAAAAAAMBI!hahahahaa
mi mwenyewe siku amini yaan walimchinja halaf bila hata kumwangalia usoni
Hata Tz alibumaAlitabiri Clinton ata shinda ikawa hola
mpaka leo namuonaga ana tuibia tu.
hahahahaahhahahahaha ILA ZAAAAAAMBI!
basi tu!
Mapungufu lzm yawepo ili kudhihirisha kwa nae ni binadamu.ila makubwa na mema ni mengi zaidi aliyofanya kuliko mapungufu.Mungu anamtumia sana lakini yeye kama binadamu hawezi kosa mapungufu machache kama kujua mapema jengo lake litaanguka, ushindi wa Trump lakini kwa kiwango kikubwa utabiri wake uwa unakuwa sahihi
Huyu tapeli?Huwa namkubali sana huyu mchungaji japo sijaokoka
tapeli tu huyo hana lolote na huko Israeli watamfukuza tuWAle mnaomfahamu sana kuliko mwandishi, leteni vielelezo sahihi badala ya ubishi tu kama ule wa "Unabisha nini wakait Mange ametuambia". ambao ni plain upumbavue.
Wale mnaosema ni msanii, mtakuwa mnaijua sanaa vizuri. Kwa umaskini wenu wote huo, kila siku mnalalamika kukosekana kwa ajira, maisha magumu, huduma kwa destitutes hakuna, watoto na ninyi wengine hamna fedha za kwenda shule, hakuna kuingiza picha mara kupiga sanaa za kigeni, kwa nini msifanye sanaa kama ya TB Joshua ambayo inalipa sana? Bila shaka mnaweza Kwa nini msifanye sanaa ile ili mjipatie nayi fedha na wafuasi wengi namna ile? . FAnyeni sasa mjipatie mafwedha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwa sanaa hiyo, anzishenii sanaa ya uponyaji ili muwe mnawapanga watu wenye kansa na matatizo ya kiroho muonyeshe wanafunguliwa na watu mailllion kwa mamilioni wawe wanaambizana kufake kwa sababu wanapenda kuhubiri sanaa zenu. Tena na sasa TB anahamia Israel, fanyni hiyo sanaa ili watu wawe wanasafiri kutoka duniani kote kuja kwenu kuwaungisha hayo maonyesho.
Wewe unayesema alitabiri unabii wa Clinton haukutumia, unajua Trump alpata kura ngapi za jumla juu ya Clinton? Anzisha na wewe unabii wako wenye tafsiri za ki philosophia za kibinsamau kama hadith ili uongee lugha ya binadamu moja kwa moja. Lakini huyu msanii wenu, anafutata kiongozi wake aliyempfa usannii ambaye pia hakueleweka na binadamu aliposema "ATALIVUNJA HEKALU ILILOJENGWA KWA MUDA MREFU SANA HAPO AWALI, HALAFU YEYE LIJENGE KWA MUDAWA SIKU TATU". Ikiwe yeye na bwana wake hawakuleweka na binadamu watumiao akili za kibinadamu, bila shaka wewe utaeleweka zaidi.
Muda mnaotumia kunena haya, bila shaka ungelikuwa na faida kwenu kama mngeutumia kuratibu hii sanaa yenu ambayo nmewaambia hapa. Vinginevyo ninaona rangi ya wivu na upumbavue.
alishatabiri nini kikawa sahihi? huyo anabahatisha tu hana loloteMungu anamtumia sana lakini yeye kama binadamu hawezi kosa mapungufu machache kama kujua mapema jengo lake litaanguka, ushindi wa Trump lakini kwa kiwango kikubwa utabiri wake uwa unakuwa sahihi