Binadam huwa hatupendi kukumbuka mambo ambayo yana ukakasi. Inawezekana pengine ndiyo hulka yetu.View attachment 997026
Huyu jamaa anafedha kweli kweli ana na amewekeza Kuanzia TanzaniaZambia na Malawi yeye ndio kwa mujibu wa Intelijensia anafadhili Al Shabaab popote pale Duniani
Mujahidi Abdwali Gaas billionia la kutupwa.
Biashara zake kwa Tanzania ni kupitia kampuni zipi?View attachment 997026
Huyu jamaa anafedha kweli kweli ana na amewekeza Kuanzia TanzaniaZambia na Malawi yeye ndio kwa mujibu wa Intelijensia anafadhili Al Shabaab popote pale Duniani
Mujahidi Abdwali Gaas billionia la kutupwa.
Hapa Tanzania amewekeza kwenye Biashara za Matair,huko Zambia amewekeza kwenye usafirishaji Uganda amewekeza kwenye Vituo vya mafuta.
Kenya wamemshtukia siku nyingi.
Hizi sehemu za wasomali zichunguzweView attachment 997026
Huyu jamaa anafedha kweli kweli ana na amewekeza Kuanzia TanzaniaZambia na Malawi yeye ndio kwa mujibu wa Intelijensia anafadhili Al Shabaab popote pale Duniani
Mujahidi Abdwali Gaas billionia la kutupwa.
Hapa Tanzania amewekeza kwenye Biashara za Matair,huko Zambia amewekeza kwenye usafirishaji Uganda amewekeza kwenye Vituo vya mafuta.
Kenya wamemshtukia siku nyingi.
Duh ......Mkuu huyu jamaa huwa anajifanya mwanasiasa,halafu yuko karibu sana na Utawala wa Somalia ana pasi za kusafiria karibu hamsini mara afuge ndevu mara anyoe mara avae kilemba.ni bingwa wa kujichanganya na watu.
View attachment 997080
Hivi na hili bado lipo hai au wa Kenya ama wamarekani walishapasua kichwa chake na kumuwahisha moja kwa moja FIRDAUS Kwenda kuwashugulikia wale mabikira? maana siku hizi yale mavideo yake ya kijinga siyaoni mtandaoni
Mkuu ukisema hivyo waanze na Kinana na Bashe ila Maafsaa wetu waache Kupiga risasi Upinzani wajikite kwenye mambo kama haya.Hizi sehemu za wasomali zichunguzwe
Nmeona zambia ndola na kabwe kna wasonjo wengi Wana miradi
Kenya isli ndy usiseme pale kama mko Mogadishu
Kko dar Somali street kuna wasomali kibao wengine hata lugha hawajui ni Sawa na kama kaingia dar tz juzi tu
Utakuta hpo kna lijitu linajifanya lina mradi
Kmbe na pia anachezesha mipango ya alshabab
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app