Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ilula ile sehemu ya wasonjo ipoHiyo sio kazi yangu ila Mtaa Livingstone na kwengineko.
Ni muslim na anamsikiti piaView attachment 997026
Huyu jamaa anafedha kweli kweli ana na amewekeza Kuanzia TanzaniaZambia na Malawi yeye ndio kwa mujibu wa Intelijensia anafadhili Al Shabaab popote pale Duniani
Mujahidi Abdwali Gaas billionia la kutupwa.
Hapa Tanzania amewekeza kwenye Biashara za Matair,huko Zambia amewekeza kwenye usafirishaji Uganda amewekeza kwenye Vituo vya mafuta.
Kenya wamemshtukia siku nyingi.
Sisi wengine wazurulaji [emoji40] [emoji40] [emoji40]Mkuu ukisema hivyo waanze na Kinana na Bashe ila Maafsaa wetu waache Kupiga risasi Upinzani wajikite kwenye mambo kama haya.
teh kazi kweli kweliZuga!wewe nae unaingia Kingi.
Basi hyu kashika mpini sahvKuna Kipindi alipewa ukuu wa mkoa wa Puntland jinsi wanavyomuogopa.
Ww hujui historia...Al shabaab ndio shiftas....walianza kuishambulia Kenya toka miaka 1960s kwa migogoro ya mipaka North Eastern KenyaBinadam huwa hatupendi kukumbuka mambo ambayo yana ukakasi. Inawezekana pengine ndiyo hulka yetu.
Hivi sasa tunawazungumzia sana Al Shabaab lakini hatuzungumzi chanzo cha uwepo wao.
Hivi ilikuwaje nchi kama Somalia ambayo ilikuwa inaendesha mambo yake kufuata demokrasia inayoambatana mila na desturi zao?
Ni kweli kuwa wanayoyafanya Al Shabaab[ Vijana wa shoka] hayapendezi ,hayafai na siyo ya kibinadam kabisa. Lakini, chanzo cha haya yote ni kitu gani???.
Nadhani namna bora ya kuelewa hali hii ya kiwenda wazimu ni kuchambua chanzo halisi cha aibu hii.
teh kazi kweli kweliZuga!wewe nae unaingia Kingi.
aliuliwa kumbe!!!Huyu mbwa ni falla sana,halafu anaongea utadhani ni jambo la maana sana na la faida analoongelea,ananikumbusha yule wa tz aliyejirokodi kwa madaha akaanza kutukana polisi na kuidhihaki,akidhania yuko somalia kwa wapuuzi wenzie akaliwa kichwa fasta kabla hajapoa.
Una kila harufu ya ugaidi we jamaa.Kuna jambo gani walilofanyiwa hao alshabab mpaka wastahili kuua innocent people.Your head is full of peace of shi.tBinadam huwa hatupendi kukumbuka mambo ambayo yana ukakasi. Inawezekana pengine ndiyo hulka yetu.
Hivi sasa tunawazungumzia sana Al Shabaab lakini hatuzungumzi chanzo cha uwepo wao.
Hivi ilikuwaje nchi kama Somalia ambayo ilikuwa inaendesha mambo yake kufuata demokrasia inayoambatana mila na desturi zao?
Ni kweli kuwa wanayoyafanya Al Shabaab[ Vijana wa shoka] hayapendezi ,hayafai na siyo ya kibinadam kabisa. Lakini, chanzo cha haya yote ni kitu gani???.
Nadhani namna bora ya kuelewa hali hii ya kiwenda wazimu ni kuchambua chanzo halisi cha aibu hii.
Unajua sasa hivi wameChange tactics wanajifanya kuvaa suti na kuingia Serikalini.Basi hyu kashika mpini sahv
Kna founder mmja aliuliwaga na us airstrike
Kipindi cha nyuma
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
amekaa madarakani kwa miaka minne kuanzia 2014 hadi juzi hapa januari, lakini mbona ni mshirika mkubwa wa marekaniKuna Kipindi alipewa ukuu wa mkoa wa Puntland jinsi wanavyomuogopa.
Sio Kenya kuweka ngome Somalia... hata Ethiopia waliweka ngome na kuwawinda Al Shabaab huko Somalia but wao hawashambuliwi kigaidi... mgogoro wa Kenya na Somalia unaanza miaka ya 1960s particularly1967 wakati huo al shabaa walikuwa wakiitwa SHIFTAS...chanzo kilikuwa ni migogoro ya mipaka North Eastern KenyaMimi napinga kuwa sababu kubwa ya Alshabab kuibuka na kuivamia Kenya ni kwamba jeshi la Kenya waliweka ngome Somalia. Je, hiki kikundi kiliundwa kabla au baada ya jeshi la Kenya kuingia Somalia?
Mwaka juzi kijana wa Kitanzania jirani kabisa na tulipokuwa tumepanga aliuwawa Kenya akiwa kama mwanamgambo wa Alshabab, je, huyu ana uchungu gani juu ya ardhi ya Somalia?
Kijana huyu tuliona safari hazimwishii, akijifanya anakwenda nje kusoma kumbe kalikuwa kagaidi.
Hiki kikundi kina interest yake ya kiimani. Hata Kenya wakiamua kuyaondoa majeshi yake wataendelea kuvamiwa tu. Na wakijieneza zaidi nchi jirani zingine zikae chonjo, hiki ni kikundi cha wahuni wasiouthamini uhai wao
Huyo firauni sidhani kama drone za marekani hazijararua kichwa chake maana alivyokuwa kiherehere asingekaa kimya muda wote huoHuyu mbwa ni falla sana,halafu anaongea utadhani ni jambo la maana sana na la faida analoongelea,ananikumbusha yule wa tz aliyejirokodi kwa madaha akaanza kutukana polisi na kuidhihaki,akidhania yuko somalia kwa wapuuzi wenzie akaliwa kichwa fasta kabla hajapoa.