Mjue Mastermind wa Al Shabaab

Mjue Mastermind wa Al Shabaab

amekaa madarakani kwa miaka minne kuanzia 2014 hadi juzi hapa januari, lakini mbona ni mshirika mkubwa wa marekani
Zuga tu huyu jamaa kuna milima anayowafugia Alshabaab
 
Sleeper Cell zake zimejaa Dar Ndola Lusaka na Kampala.
 
Mkuu Al-shabaab wana vyanzo vingi vya mapato kuna bandari ziko chini yao, wana kusanya ushuru, zaka na wana wafadhili dunia nzima kwaiyo hawa watu hela ya kununua silaha wanayo yakutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wakati hawa Al Shabaab/ watekaji wa meli baharini waliwahi kuhusishwa na wamiliki wa Shemu Industries (Mbezi beach), Para Dies beach hotel (Bagamoyo) na Nitasoma Hotel (Gerezani, Kariakoo). Sijui kulikuwa na ukweli wowote.
 
Duh kivipi sasa kwa maana alihusika na wanajeshi wa Kenya kuingia somalia 2011 kuwatokomeza al shabaab kipndi akiwa Waziri mkuu
Alshabaabu wamo humo serikalini juzi tu Raisi wao kamfukuza mjumbe wa UN usiku wake makazi ya UN yakashambuliwa.
 
Kuna wakati hawa Al Shabaab/ watekaji wa meli baharini waliwahi kuhusishwa na wamiliki wa Shemu Industries (Mbezi beach), Para Dies beach hotel (Bagamoyo) na Nitasoma Hotel (Gerezani, Kariakoo). Sijui kulikuwa na ukweli wowote.
Dawa ni kuwachunguza hawa jamaa halafu ukiuona mtandao unafinya nywiii!!
 
Bongo tuko vizuri wasituchezee!!
Huyu Jamaa alijenga NYUMBA KIBAO UFUKWENI UNUNIO Walipomtupa ROMA,Serikali ikamstukia anataka kufanya UGAIDI wa kuingiza madawa na silaha za Alshabaab,wakamzuia kujenga na sasa ndio yamebaki MAGOFU ambayo wasiojulikana wanayatumia.
 
Ww hujui historia...Al shabaab ndio shiftas....walianza kuishambulia Kenya toka miaka 1960s kwa migogoro ya mipaka North Eastern Kenya
Uongo mwingine banaaaa kama vile unajitoa ufahamu
Sasa hio miaka ya 1960 hili kundi la hao wahuni lilikuwepo?
Hapa umetuthibitisha kua wewe ndio unajua historia kwelikweli.

Maendeleo hayana chama
 
Mbona huyu unayemtaja ni prof wa uchumi toka havard aliyewahi kuwa waziri mkuu wa somalia na kisha rais wa puntuland??

Raia mwenye uraia pacha wa somalia na america.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unafikiri Alshabaabu viongozi wao wametoka kwenye Madrasa chini ya miti angalia Wastegate walivyofanikisha kama Nevyseals
 
Uongo mwingine banaaaa kama vile unajitoa ufahamu
Sasa hio miaka ya 1960 hili kundi la hao wahuni lilikuwepo?
Hapa umetuthibitisha kua wewe ndio unajua historia kwelikweli.

Maendeleo hayana chama
Unaweza ukagogo for more information....nimekosa muda wa kukupa facts zote....1967 kwa mara ya kwanza Kenya ilushambuliwa na hao SHIFTAS ambao leo hii ndio hao el Shabaab
Get to the root bro ....usiongee juu juu...no research no right to speak
nenda google andika kichwa cha habari hiki "The Shiftas war and the North Eastern Kenya"walau utapata mwanga hapo...ukishamaliza kusoma hapo rudi nikupe linki za hatari..baada ya hapo ukuje useme asante kaka...
 
Huyu Jamaa alijenga NYUMBA KIBAO UFUKWENI UNUNIO Walipomtupa ROMA,Serikali ikamstukia anataka kufanya UGAIDI wa kuingiza madawa na silaha za Alshabaab,wakamzuia kujenga na sasa ndio yamebaki MAGOFU ambayo wasiojulikana wanayatumia.
Ile mijumba inayojaa maji wakati wa mvua
Kwa eneo lile alipigwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
amekaa madarakani kwa miaka minne kuanzia 2014 hadi juzi hapa januari, lakini mbona ni mshirika mkubwa wa marekani
Kwani we unafikiria hata hio payroll ya mashababi inatokea nchi gani?

Maendeleo hayana chama
 
Back
Top Bottom