Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh kivipi sasa kwa maana alihusika na wanajeshi wa Kenya kuingia somalia 2011 kuwatokomeza al shabaab kipndi akiwa Waziri mkuuZuga tu huyu jamaa kuna milima anayowafugia Alshabaab
Alshabaabu wamo humo serikalini juzi tu Raisi wao kamfukuza mjumbe wa UN usiku wake makazi ya UN yakashambuliwa.Duh kivipi sasa kwa maana alihusika na wanajeshi wa Kenya kuingia somalia 2011 kuwatokomeza al shabaab kipndi akiwa Waziri mkuu
Basi chaka la magaidi litakuwa kubwa sana hapa africa masharikiAlshabaabu wamo humo serikalini juzi tu Raisi wao kamfukuza mjumbe wa UN usiku wake makazi ya UN yakashambuliwa.
Dawa ni kuwachunguza hawa jamaa halafu ukiuona mtandao unafinya nywiii!!Kuna wakati hawa Al Shabaab/ watekaji wa meli baharini waliwahi kuhusishwa na wamiliki wa Shemu Industries (Mbezi beach), Para Dies beach hotel (Bagamoyo) na Nitasoma Hotel (Gerezani, Kariakoo). Sijui kulikuwa na ukweli wowote.
Huyu Jamaa alijenga NYUMBA KIBAO UFUKWENI UNUNIO Walipomtupa ROMA,Serikali ikamstukia anataka kufanya UGAIDI wa kuingiza madawa na silaha za Alshabaab,wakamzuia kujenga na sasa ndio yamebaki MAGOFU ambayo wasiojulikana wanayatumia.Bongo tuko vizuri wasituchezee!!
Uongo mwingine banaaaa kama vile unajitoa ufahamuWw hujui historia...Al shabaab ndio shiftas....walianza kuishambulia Kenya toka miaka 1960s kwa migogoro ya mipaka North Eastern Kenya
Duh ni balaaHuyu Jamaa alijenga NYUMBA KIBAO UFUKWENI UNUNIO Walipomtupa ROMA,Serikali ikamstukia anataka kufanya UGAIDI wa kuingiza madawa na silaha za Alshabaab,wakamzuia kujenga na sasa ndio yamebaki MAGOFU ambayo wasiojulikana wanayatumia.
Wewe unafikiri Alshabaabu viongozi wao wametoka kwenye Madrasa chini ya miti angalia Wastegate walivyofanikisha kama NevysealsMbona huyu unayemtaja ni prof wa uchumi toka havard aliyewahi kuwa waziri mkuu wa somalia na kisha rais wa puntuland??
Raia mwenye uraia pacha wa somalia na america.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo....ila sababu nishaijua nkitaja ntachafua Hali ya hewa humuNilichogundua humu kuna watetezi wa Magaidi mrangi unaonaje?!
Unaweza ukagogo for more information....nimekosa muda wa kukupa facts zote....1967 kwa mara ya kwanza Kenya ilushambuliwa na hao SHIFTAS ambao leo hii ndio hao el ShabaabUongo mwingine banaaaa kama vile unajitoa ufahamu
Sasa hio miaka ya 1960 hili kundi la hao wahuni lilikuwepo?
Hapa umetuthibitisha kua wewe ndio unajua historia kwelikweli.
Maendeleo hayana chama
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ndiyo....ila sababu nishaijua nkitaja ntachafua Hali ya hewa humu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile mijumba inayojaa maji wakati wa mvuaHuyu Jamaa alijenga NYUMBA KIBAO UFUKWENI UNUNIO Walipomtupa ROMA,Serikali ikamstukia anataka kufanya UGAIDI wa kuingiza madawa na silaha za Alshabaab,wakamzuia kujenga na sasa ndio yamebaki MAGOFU ambayo wasiojulikana wanayatumia.
Kwani we unafikiria hata hio payroll ya mashababi inatokea nchi gani?amekaa madarakani kwa miaka minne kuanzia 2014 hadi juzi hapa januari, lakini mbona ni mshirika mkubwa wa marekani
Hahahaa Dada wa TAIFA alishawahi kuyapost hayo MAJUMBA kipindi ROMA Alivyotekwa.Ile mijumba inayojaa maji wakati wa mvua
Kwa eneo lile alipigwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app