Mjue Mastermind wa Al Shabaab

Ni muslim na anamsikiti pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna jamaa kwa nyuma yake amekula miwani, huyu jamaa ni kiongozi kwani maana kama alikuwa kwenye mkutano flani
 
Mimi napinga kuwa sababu kubwa ya Alshabab kuibuka na kuivamia Kenya ni kwamba jeshi la Kenya waliweka ngome Somalia. Je, hiki kikundi kiliundwa kabla au baada ya jeshi la Kenya kuingia Somalia?
Mwaka juzi kijana wa Kitanzania jirani kabisa na tulipokuwa tumepanga aliuwawa Kenya akiwa kama mwanamgambo wa Alshabab, je, huyu ana uchungu gani juu ya ardhi ya Somalia?
Kijana huyu tuliona safari hazimwishii, akijifanya anakwenda nje kusoma kumbe kalikuwa kagaidi.
Hiki kikundi kina interest yake ya kiimani. Hata Kenya wakiamua kuyaondoa majeshi yake wataendelea kuvamiwa tu. Na wakijieneza zaidi nchi jirani zingine zikae chonjo, hiki ni kikundi cha wahuni wasiouthamini uhai wao
 
Ww hujui historia...Al shabaab ndio shiftas....walianza kuishambulia Kenya toka miaka 1960s kwa migogoro ya mipaka North Eastern Kenya
 
aliuliwa kumbe!!!
 
Una kila harufu ya ugaidi we jamaa.Kuna jambo gani walilofanyiwa hao alshabab mpaka wastahili kuua innocent people.Your head is full of peace of shi.t

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Kipindi alipewa ukuu wa mkoa wa Puntland jinsi wanavyomuogopa.
amekaa madarakani kwa miaka minne kuanzia 2014 hadi juzi hapa januari, lakini mbona ni mshirika mkubwa wa marekani
 
Sio Kenya kuweka ngome Somalia... hata Ethiopia waliweka ngome na kuwawinda Al Shabaab huko Somalia but wao hawashambuliwi kigaidi... mgogoro wa Kenya na Somalia unaanza miaka ya 1960s particularly1967 wakati huo al shabaa walikuwa wakiitwa SHIFTAS...chanzo kilikuwa ni migogoro ya mipaka North Eastern Kenya
 
Huyo firauni sidhani kama drone za marekani hazijararua kichwa chake maana alivyokuwa kiherehere asingekaa kimya muda wote huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…