Mjue Mastermind wa Al Shabaab

Kila dini inauwa dini nyingine ukweli ndio huo!..ni ugomvi wa Sadaka.
 

taarifa yako haina chanzo.
 
Kwanini iwe Kenya tu na si Tanzania??kuna kitu nyuma ya pazia kwa Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hutaji link yake na Rwanda? Au unajitia upofu hizo barges alizovaa?
 
Nina video ya sheikh anasema Ni ruksa kuuwa makafiri ili upate thawabu peponi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mgunduzi wa Suicide vest ni Mkiristo wa Kitamil Tigers huko Sri lanka wakati wa vita ya Christian Tamils na Sinhalese Budhas hapa Suicide Bomber wa Kikristo akiwa amejilipua ndani ya Basi

Angalia minofu.
Wewe keep Calm and say Bwana asifiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…