Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudi kwenye post yako niliyokuquote isome vizuuri sio kuhamisha goli kingeseNipatie video ya wakristo wakiuana na kupigana Tanzania,mimi ntakupatia video ya violence za waislamu katika kila taifa lenye waislamu,naanza na Kenya tu hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu swali mbona unakuwa una wenge Kama Malaya aliyepitiliza siku zakeRudi kwenye post yako niliyokuquote isome vizuuri sio kuhamisha goli kingese
Ligi za kingese mimi bado sijala bhana.Jibu swali mbona unakuwa una wenge Kama Malaya aliyepitiliza siku zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina video ya sheikh anasema Ni ruksa kuuwa makafiri ili upate thawabu peponiLigi za kingese mimi bado sijala bhana.
Wahidu pia wana video ya kuua wakristo.ili kukutana Lord ShivaNina video ya sheikh anasema Ni ruksa kuuwa makafiri ili upate thawabu peponi
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini hakuna video ya makafiri wa kikristo wakiua waislamuWahidu pia wana video ya kuua wakristo.ili kukutana Lord Shiva
Mkuu nenda somalia kawaokoe na damu ya YesuHao wote hawajaokolewa na damu ya Yesu, wako upande wa mashaitwain
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 997026
Huyu jamaa anafedha kweli kweli ana na amewekeza Kuanzia TanzaniaZambia na Malawi yeye ndio kwa mujibu wa Intelijensia anafadhili Al Shabaab popote pale Duniani
Mujahidi Abdwali Gaas billionia la kutupwa.
Hapa Tanzania amewekeza kwenye Biashara za Matair,huko Zambia amewekeza kwenye usafirishaji Uganda amewekeza kwenye Vituo vya mafuta.
Kenya wamemshtukia siku nyingi.
View attachment 997106
Mtaalam wake wa mambo ya Vilipuzi na Mpelelezi wake mkuu ni huyu Mohammed Harshi.
Huyu jamaa husimamia na kufuatulia misheni zote ili kwamba ahakikishe maximum demage imefanyika.
Kwanini iwe Kenya tu na si Tanzania??kuna kitu nyuma ya pazia kwa Kenya.Mimi napinga kuwa sababu kubwa ya Alshabab kuibuka na kuivamia Kenya ni kwamba jeshi la Kenya waliweka ngome Somalia. Je, hiki kikundi kiliundwa kabla au baada ya jeshi la Kenya kuingia Somalia?
Mwaka juzi kijana wa Kitanzania jirani kabisa na tulipokuwa tumepanga aliuwawa Kenya akiwa kama mwanamgambo wa Alshabab, je, huyu ana uchungu gani juu ya ardhi ya Somalia?
Kijana huyu tuliona safari hazimwishii, akijifanya anakwenda nje kusoma kumbe kalikuwa kagaidi.
Hiki kikundi kina interest yake ya kiimani. Hata Kenya wakiamua kuyaondoa majeshi yake wataendelea kuvamiwa tu. Na wakijieneza zaidi nchi jirani zingine zikae chonjo, hiki ni kikundi cha wahuni wasiouthamini uhai wao
Kwa nini isiwe Uganda na Burundi kwa nini isiwe Ethiopia na Djibouti kuna maswali mengi Nchi ambazo hajawekeza huyu bwana ndio zinashambuliwa.Kwanini iwe Kenya tu na si Tanzania??kuna kitu nyuma ya pazia kwa Kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hutaji link yake na Rwanda? Au unajitia upofu hizo barges alizovaa?View attachment 997026
Huyu jamaa anafedha kweli kweli ana na amewekeza Kuanzia TanzaniaZambia na Malawi yeye ndio kwa mujibu wa Intelijensia anafadhili Al Shabaab popote pale Duniani
Mujahidi Abdwali Gaas billionia la kutupwa.
Hapa Tanzania amewekeza kwenye Biashara za Matair,huko Zambia amewekeza kwenye usafirishaji Uganda amewekeza kwenye Vituo vya mafuta.
Kenya wamemshtukia siku nyingi.
View attachment 997106
Mtaalam wake wa mambo ya Vilipuzi na Mpelelezi wake mkuu ni huyu Mohammed Harshi.
Huyu jamaa husimamia na kufuatulia misheni zote ili kwamba ahakikishe maximum demage imefanyika.
Mgunduzi wa Suicide vest ni Mkiristo wa Kitamil Tigers huko Sri lanka wakati wa vita ya Christian Tamils na Sinhalese Budhas hapa Suicide Bomber wa Kikristo akiwa amejilipua ndani ya BasiNina video ya sheikh anasema Ni ruksa kuuwa makafiri ili upate thawabu peponi
Sent using Jamii Forums mobile app