mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
Ulivyosema drc umelenga mule mule mzee.me hii dawa nimebahatika kuipata tena ni huko huko congo mzee.na wakati wa kutengenezwa unaulizwa unataka vitu gani visiingie mwilini mwako na unafanyiwa test pale pale mzee.bahati mbaaya hawa watu wanaofanya hizi issue hawawapi raia wa jeshini utakutana navyo sana hivi.Shida wabongo hatupendi kusoma ndio maana kila kitu kukosoa tu. Kuna Project inaitwa Mk often na Mk ultra.
Tafuta kitabu nlisha upload humu JF, CIA manual for trickery and deception utaona majasusi wanavyotumia dark arts kukwepa kuanzia risasi mpka kuyeyuka!!
Hya mambo yapo, siku fika DRC utaamini