Mjue "Mbokoo" kibaka aliyewahi kuitikisa Kigamboni-Dar kabla ya kudhibitiwa kwa mbinde na Polisi

Ulivyosema drc umelenga mule mule mzee.me hii dawa nimebahatika kuipata tena ni huko huko congo mzee.na wakati wa kutengenezwa unaulizwa unataka vitu gani visiingie mwilini mwako na unafanyiwa test pale pale mzee.bahati mbaaya hawa watu wanaofanya hizi issue hawawapi raia wa jeshini utakutana navyo sana hivi.
 

Mkuu kwaiyo na ww ukipigwa risasi haipenyi?
 
Kamba zingine bwana, CIA waandike habari kama hii😃.
Halafu wengi mnaotoa hizi stori huwa hamuweki neno kuwa ulisikia au inasemekana, yani mnaandika kama mlishuhudia mtu anapigwa risasi inadunda.
 
Keko unaporwa, na bado kipigo unapokea, tena cha hatari kbs
Keko,na temeke...aisee kila kijana anacheza ngumi, sahv ni kama fashion, tena wanazichapa hasa..unaibiwa na ngum unatandikwa, wenyewe wanakwambia ''kama unahis unaziweza tucheze goma mbili'' aisee kama unajijua hata guard huwez kunja usijaribu kabisa..utachezea K.O nzur tu
 
Kamba zingine bwana, CIA waandike habari kama hii😃.
Halafu wengi mnaotoa hizi stori huwa hamuweki neno kuwa ulisikia au inasemekana, yani mnaandika kama mlishuhudia mtu anapigwa risasi inadunda.
Mkuu ingia google type declassified files za CIA zufuatazi

manual for trickery and deception (pdf).

Project Mk Ultra/Often

CIA on Rebel activity in Congo (kinahusu mai mai wanaokweps risasi)

Alafu ukikuta hizo story hazipo ndio uje kuita kamba.

Shida ya wabongo hatuna exposure na hatupendi kusoma ndio maana kila kitu tunabisha tu hta kma hatuna taarifa nacho.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji95] keko siyo poa

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Hivi Bodaboda tayari nao Sasa wanna enzi hizo
 
Hahaha eti hasikii risasii..labda risasi za vibastola vya watoto
 
Angekuja tabata ndio tungejua ukweli wa hizi habari. Huku hatucheki na watoto wabaya. Wahuni wapo ila adabu wanayo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…