Mjue "Mbokoo" kibaka aliyewahi kuitikisa Kigamboni-Dar kabla ya kudhibitiwa kwa mbinde na Polisi

nyie watu wa Dar siwaelewagi kama mlikua mnawakimbia komandoo yoso watoto wadogo. Ndio maana ata wasanii wenu walivyowazingua wasanii wa Chuga wakaamua kuja Dar hukohuko kuja kuwatuliza!

Dar hakuna kitu hakuna wababe ni story tu tena huko Kigamboni, Kinondoni, Magomeni nk. naweza tembea mwenyewe vijana wamekua walaini sana
 
Vijana wa Dar wababaishaji tu wababe wako Mbeya, Mwanza mara Chuga kwingine kote story.
 
Maisha yanakwemda kasi sana siku hizi watu wame staarabika sana
 
Yaani watu wa Arusha mnanifurahisha hapo tu, mkivuta mnadanganyana nyinyi ni wajanja wa TZ ha ha
 
Yaani aliposema risasi ilikuwa haipenyi nikajua hii kamba tu, hivi risasi mnaisikia au mnaijua? Risasi moja tu inamuangusha tembo na nyati itakiwa mwili wa binadamu?
 
Nyingine fix hizi, nimeishi kigamboni miaka dahari wa dahari, kilometa 7 hivi kutoka kigamboni(kivukoni). sijawahi kumsikia angekuwa na balaa hilo nisingekosa hata kumsikia.
Ukishasikia story kwamba alikuwa akipigwa risasi haiingii ujue kabisa hizo ni fix tupu, usicheze na manati ya mzungu Ile ni habari nyingine
 
Ukishasikia story kwamba alikuwa akipigwa risasi haiingii ujue kabisa hizo ni fix tupu, usicheze na manati ya mzungu Ile ni habari nyingine
kwahiyo unapinga nini wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…