House of Commons
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 2,179
- 2,177
Ukishitakiwa unaweza kushinda kesi kwa tuhuma hizi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wa Dar wababaishaji tu wababe wako Mbeya, Mwanza mara Chuga kwingine kote story.dmkali
Mlaleo
Mmeandika story ni kama vile matukio yalifanyika last week.
Kwa nn msielzee siku/mwaka wa matukio.
Dmkali ata hajamalizi kueleza kama huyo alishakufa,alishazeeka,ni mlemavu au alifungwa maisha gerezani baada ya kuhasiwa.
story haijitoshelezi ina ongeza mlundikano wa maswali.
Ma story teller mzingatie hayo jmn.
History bila tarh au mwezi au mwaka ni udaku.
Daah wabongo....halafu alipoimeza akainya au?amjua jamaa uyo, aliwai kumeza bisto maeneo ya madizini
yanakwenda wapiMaisha yanakwemda kasi sana siku hizi watu wame staarabika sana
huko mwanza mbona Kuna kibaka Aliwahi watesa Sana hukovijana wa Dar wababaishaji tu wababe wako mbeya mwanza mara chuga kwingine kote story.
lakini mashart ya MUKU haitaki UonevuHuyo jamaa atakuwa alichanjiwa muku
hivi hadi kibaka hutakiwa R.I.P?
nyie watu wa Dar siwaelewagi kama mlikua mnawakimbia komandoo yoso watoto wadogo.ndio maana ata wasanii wenu walivyowazingua wasanii wa chuga wakaamua kuja dar hukohuko kuja kuwatuliza!
Dar hakuna kitu hakuna wababe ni story tu tena huko kigamboni kinondoni magomeni nk.naweza tembea mwenyewe vijana wamekua walaini sana
Yaani aliposema risasi ilikuwa haipenyi nikajua hii kamba tu, hivi risasi mnaisikia au mnaijua? Risasi moja tu inamuangusha tembo na nyati itakiwa mwili wa binadamu?Alikuwa anazo nguvu na uwezo kama kuliko Tembo? anaweza kupambana na Simba peke yake??, anaweza kuua Nyati kwa mikono mitupu?
Hao wanyama wote, Tembo, Simba na Nyati mbele ya risasi hawakohoi sembuse Mtu mmoja mwenye Sifa kidogo za ajabu (peculiarity) ndiye atambe mbele ya Risasi?
Kuna mnyama mmoja, nadhani ni "honey Badger", huyu ukimpiga mkuki au Panga au kitu chenye ncha kali hakitoboi ngozi yake, huyu ndiye mnyama mwenye ngozi ngumu kupenyezeka kuliko wanyama WOTE,, lakini mbele ya Risasi ngozi yake haifui dafu, Risasi inapenya kama kupenya kwenye karatasi.
Risasi ni habari nyingine, huyo Mbokoo anaweza kutodhuriwa na vitu vingine kama kisu, panga nk, lakini sio Risasi, Risasi inapenya katika mwili wa binadamu yeyote.
Ukishasikia story kwamba alikuwa akipigwa risasi haiingii ujue kabisa hizo ni fix tupu, usicheze na manati ya mzungu Ile ni habari nyingineNyingine fix hizi, nimeishi kigamboni miaka dahari wa dahari, kilometa 7 hivi kutoka kigamboni(kivukoni). sijawahi kumsikia angekuwa na balaa hilo nisingekosa hata kumsikia.
kwasababu wewe ulikuwa mjumbe au Nani hadi useme hakuwepoNyingine fix hizi, nimeishi kigamboni miaka dahari wa dahari, kilometa 7 hivi kutoka kigamboni(kivukoni). sijawahi kumsikia angekuwa na balaa hilo nisingekosa hata kumsikia.
kwahiyo unapinga nini wewe!Ukishasikia story kwamba alikuwa akipigwa risasi haiingii ujue kabisa hizo ni fix tupu, usicheze na manati ya mzungu Ile ni habari nyingine
Uzoefu wa story tu mkuu ila katu siwezi ruhusu giza likanikuta nikiwa mitaa hio.