Mjue "Mbokoo" kibaka aliyewahi kuitikisa Kigamboni-Dar kabla ya kudhibitiwa kwa mbinde na Polisi

Wewe kama Mbabe tunakutupa mitaa ya keko tu! Hio bangi yako ya Chuga itaisha ndani ya muda mchache sana. We ukisikia Dar unahisi ni kinondoni tu kwa mabishoo?
keko ipi keko mwanga tushawahi kuwakalisha mateja wale wanawazingua nyinyi watoto wa magholofani!pale lerini ukitokea karikoo walimzingua mchizi wetu alivyokuja tuambia tulitimba pale vibandani usiku sana mbona ilipatikana amani
 
Nyie mnaogopa vivuli vyenu huko dar kuna kitu mnatakiwa mkijue wewe sehemu za hatari unatembeaje kizembe zembe huna ata vifaa vya kuwatuliza vibaka uchwara!
 
keko ipi keko mwanga tushawahi kuwakalisha mateja wale wanawazingua nyinyi watoto wa magholofani!pale lerini ukitokea karikoo walimzingua mchizi wetu alivyokuja tuambia tulitimba pale vibandani usiku sana mbona ilipatikana amani
Kumbe ulitimba na wana, kajaribu hizo pigo leo hii! Ndio utaelewa kama kuna kina Jet li weusi! Nenda man to man!
 
Sasa huu ni uzembe wa wanafunzi nyomi hilo mnzinguliwa na na vibaka wachache kweli Dar mna vituko sana mpaka mnakwenda kuandamana na kuwasumbua wazee wetu ktk kazi na majukumu muhimu!yani ninakoishi na ninako pita popote usiku siruhusu raia kua karibu nae wala sina story lingine hua najiami kwa lolote tena ujinga wa Dar mtu anakutishia kukupiga bapa hao ndio nawatakaga sana wanaotishia vitendea kazi
 
Kumbe ulitimba na wana, kajaribu hizo pigo leo hii! Ndio utaelewa kama kuna kina Jet li weusi! Nenda man to man!
Nkuambia hii ukitaka kunikalisha basi hakikisha kama umeshika sime unicharangecharange sio kunitishia mabapa nikikama hiyo sime ndio utajua matumizi yake keko hakuna kitu wanawwazingua nyie tu
 
Nkuambia hii ukitaka kunikalisha basi hakikisha kama umeshika sime unicharangecharange sio kunitishia mabapa nikikama hiyo sime ndio utajua matumizi yake keko hakuna kitu wanawwazingua nyie tu
We unaleta utemi nyuma ya keyboard! Hata mie ni mtemi mbona ila kwenye kupambana live lazma ntachimba!

Inshort hakuna mtu anatumia panga ni mikono kavu kavu na mateke ila utakaa.
 
Namwambia mchizi analeta ubabe wa miaka ya 90! Sasa hivi madogo tu wako vizuri yani kama hujui kurusha "maigel uke" mapema tu unatemeshwa juisi ya rossela!
 
We unaleta utemi nyuma ya keyboard! Hata mie ni mtemi mbona ila kwenye kupambana live lazma ntachimba!

Inshort hakuna mtu anatumia panga ni mikono kavu kavu na mateke ila utakaa.
Kwetu meru wakati wa mapambano na watu usiowajua ni marufuku kutumia viungo unatakiwa utumie zana hasa sehemu korofi kama hizo uanazosema kwanza siwezi tembea kiboya ktk mitaa hatarishi night!
 
Kwetu meru wakati wa mapambano na watu usiowajua ni marufuku kutumia viungo unatakiwa utumie zana hasa sehemu korofi kama hizo uanazosema kwanza siwezi tembea kiboya ktk mitaa hatarishi night!
Hahah kumbe we ni akina sobayi! Kama umeiva kuchezesha ile fimbo ngumu hapo sawa.
 
Hivi ni MBOKOO au MBOKOA.. Ila kulikuwa na mnyama SANCHO . Hadi mzee Chid Benzino alimuambia kwenye verse zake. Huyu SANCHO alikuwa real kwa nguvu zake ingawa alikuwa hakabi kitaa kama huyo MBOKOA. Jamaa alikuwa msela baharia tu. Ukionewa unamfuata Mnyama SANCHO then score inarudi ziro ziro. Mimi na mchizi wangu primary kaka ake alikuwa SEGA DANCE basi full miconfidence.
 
Acha ubishi mkuu jambo usililolijua ni sawa na usiku wa giza.me hii pia ya panga,risasi na vitu vyovyote vyenye ncha kali haviingii kwangu.na ili kuhakiki dawa kama inafanya kazi unatestiwa hapo hapo hapo na upanga inahitaji ujasiri.ila hivi vitu vipo mwenyewe mwanzo nilikuwa tomaso kama wewe.bahati mbaya sana hadi uipate hii kitu uwe na conection.
 
Hahah kumbe we ni akina sobayi! Kama umeiva kuchezesha ile fimbo ngumu hapo sawa.
Siwezi kupigana ngumu na muharifu na hiyo nafasi akitaka kutumia minguvu yake ndio atapotea ukitembea usiku unatakiwa kua full chalii angu sio unatembea night unakua kama unakwenda ukweni!mie ikishafikaga saa 2 usiku nikiwa natoka nakua niko full ikifika saa4 siruhusu mtu nisie mjua kunisogelea njiani ikifika kuanzia saa 6 na kuendelea hua napita ktk ya barabara sasa sogeza matendegu yako usawa wangu ila dar nyie waoga sana amna hazi ya kuoa meru!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…