Mjue "Mbokoo" kibaka aliyewahi kuitikisa Kigamboni-Dar kabla ya kudhibitiwa kwa mbinde na Polisi

Mjue "Mbokoo" kibaka aliyewahi kuitikisa Kigamboni-Dar kabla ya kudhibitiwa kwa mbinde na Polisi

Kibaka mbooko aliuwawa katika majibizano mapema Mwezi uliopita kwa kupigwa na kitu kizito wakati akiwa katika majukumu yake ya ukabaji!
Safi kapata alichotafuta...Dawa ya majambazi na watukutu wa dizaini huyo ni kula chuma tu.
 
Huyu mboko alisumbua kamtaa kamoja tu ndo mnaona ni balaa.. Kweli Dar laini sana hadi panya road wanawatesa hahaha
 
Wananchi wa Dar hawana ushirikiano ndio maana inakuwa rahisi wahalifu kufanya wanachotaka.
Ukiachana na kutokuwa na ushirikiano wengi wao uoga ni hadi yao ..mim nimekaa na machali wa dar ni waoga kinoma
 
Musa chesa aliekua jambazi kutoka kigoma kazula mimba,
ambae kwa sasa ni mlokole akitoa ushuhuda wake na jinsi alivyochanjia dawa ya kuzuia risasi.
kabla alichanjia dawa ya kuzuia silaha zngne kama panga,kisu, fimbo n.k
akaona aongeze kubwa la maadui ya kuzuia risasi ambayo ilimuacha na alama za risasi tu baada ya kua zina dunda mwilin mwake pale alipopigwa.
zitto junior
dmkali
Kibajajitz
 

Attachments

  • PART4_MUSSA CHESA MCHAWI MKUU TZ ALIUA MAELFU_MWEN...O KURUDISHA MISUKULE_MLA WATU_JAMBAZI SUG...mp4
    22.6 MB
Video ya pili ya musa chesa aliekua jambazi sugu kigoma
akieleza siku ya kwanza toka achanjiwe dawa ya kuzuia risasi.
Apo aliyopigwa risasi akiwa anaiba sukari kwenye behewa la treni, na kilichomkuta baada ya kupigwa risasi hatari sana mchungaji musa ameokoka kwa sasa.
 

Attachments

  • 20210608_031108.mp4
    87.3 MB
Vibaka wameisha
Nipo huku aisee polisi wameua sana sikuhiz ni shwari sana wamebaki wachache na hata mwamko wa kucheza ngumi sikuhiz hakuna watoto wengi wanao kua sikuhiz wapo bize kugonga sofa tu

Yamebaki matukio kidogo sana nayo ni mara Moja Moja sana
 
Kuna jamaa mitaa ya mbeya simike huko alikua anaitwa jairo na mwenzie chanda,alafu umkute na semeni hao sasa huyo jamaa wa kigamboni mngekuta kavalishwa kanga na piko kachorwa kabisa.hata waliishia wapi sijui.

Singida huko kuliku na Tembo Senge mtoto wa mtemi Senge na Mdogo wako akaibuka badai Selemani Senge hao watu nyie sikieni tu sijui Nao sijui wako wapi.
Semeni alikufa kitambo sana alipigwa na wananchi wenye hasira kali
 
Semeni alikufa kitambo sana alipigwa na wananchi wenye hasira kali
Sikumbuki alipofia ila alikua mbogo mwizi mporaji na mbabe haswa,
Jombi ndio alioa dada yake Stella,
mzee wake Kalongoti alikua anamiliki malori mabovu kila kona.
Walikua jirani tu home Nzovwe pale
 
Back
Top Bottom